Lusinde wa Mtera - kuwa live jioni hii Clouds FM radio

mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,611
759
Kipindi cha jahazi kipo hewani sasa hivi leo 04/04/2012, wamesema baadae Mh. L. Lusinde ataongea juu ya kutukana mitusi akiwa Arumeru.​

sijui atasema nini leo kujitetea maana ni aibu

mlio nje ya nchi mnaweza sikiliza online now.


Amebatizwa jina sasa ni Kudadeki
.....

anaongea bado sasa hivi ni mbishi nahamu nimpige vibao

Raisi muachishe ubunge huyu mbishi

.....

eti ni kawaida yake kutumia lugha hii katika uchaguzi wa sehemu aendako ila wakati huu wamemchokoza,

kwa hiyo anachosema ni kuwa amezoea kuongea hivyo tangu zamani.

libaba hili bishi sana, anatia aibu


.......

what Yesu aliuawa, na Mtume..... jamaa huyu mbishi sana tena sana

.......

Eti Lema alisema maneno yalisikika jimboni, wnamuuliza mbona hatujayasikia? anasema yalikuwa jimboni

.....

JK unasibiri nini
 
Eti ule ulikuwa kama namba ishirini na kitu kuhutubia

Na alikuwa ni Chadema zamani sasa ni CCM

ndo ameanza kuongea sasa hivi.
 
Hahah Lusnde anasema yeye hutumia neno kudadadadeki hata kanisani
 
Nina mashaka, asije akawa alitoroka Milembe huyo. Hivi hospitali ya Milembe iko ndani ya jimbo gani kweli? Siyo Mtera?
 
Ni mbishi mbishi eti hatukusikia Chadema walivyowaongelea CCM (watukana) na tumeona upande mmoja tu,

Angekuwa Chadema eti kideo kisingetolewa mtandaoni na wote tungeona kawaida na kufurahia

Tanzania daima wamemtukana yeye na familia yake na ni ya Mkubwa Chadema
 
Kwa CCM hata yule Matonya wa Dodoma anaweza kupewa Ubunge. Mbona walimpa maji Marefu?
 
Huyu Kibonde anatafuta nini CCM

Chadema wamesema hawakubali sorry yake yeye Kibondevv anasema eti marumbano hayatakiwi

huyu kweli lazima ankura na wa ccm ni ujinga sana Kibonde kwa kutetea vyama ni ujinga sana ikiwa wewe ni mtangazaji

Mwenzako ni bonge la mtangazaji.
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Wazazi wake na chama ndo wamemfanya Lusindematusi tunayemuona.
 
Huyu Kibonde anatafuta nini CCM

Chadema wamesema hawakubali sorry yake yeye Kibondevv anasema eti marumbano hayatakiwi

huyu kweli lazima ankura na wa ccm ni ujinga sana Kibonde kwa kutetea vyama ni ujinga sana ikiwa wewe ni mtangazaji

Mwenzako ni bonge la mtangazaji.

sure mkuu!..for the first time leo Anord Kayanda ameonyesh ukomavu ktk kuuliza maswali ya msingi..Kibonde alikuw anaonyesh km kumtoa Lusinde kweny hoja ya msingi iliyompelek kweny interview..aagg
 
nawaonea huruma wapiga kura wake, maana watakuwa wanajuta sana kwa kumchagua.
 
Ikiwa tuna viongozi vichaa kama Lusinde, je tutarajie maendeleo? Kuwe na sheria ya kuwabana viongozi wa umma (mbali na watu wa kawaida) pale wanapokiuka maadili na tamaduni za Tanzania. Viongozi wana ushawishi mkubwa, kina Lusinde wanaharibu jamii (watoto) waliomsiliza. Je wehu wataweza; kuchambua sera, kkunganisha wadau, kuchambua miradi, kutunga sheria? MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Ni mbishi mbishi eti hatukusikia Chadema walivyowaongelea CCM (watukana) na tumeona upande mmoja tu,

Angekuwa Chadema eti kideo kisingetolewa mtandaoni na wote tungeona kawaida na kufurahia

Tanzania daima wamemtukana yeye na familia yake na ni ya Mkubwa Chadema

Kideo kipoooo bofya linki hii http://www.youtube.com/watch?v=1lSaLItmj-c
 
Back
Top Bottom