Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 983
- 207
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti kwasababu mimi ni masikini, walisema msinichague eti mimi sina mke, na kuongeza msinichague eti mimi ni mtoto,sasa nikawauliza, mnataka dogo Janja au Kubwa jinga na je bungeni niwe na mke kwani tunakwenda kusuluhisha ndoa?"
Nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?
Nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?