Si walizema Big Brother yakiuka maadili ya m-tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si walizema Big Brother yakiuka maadili ya m-tz?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jmnamba, Apr 4, 2012.

 1. j

  jmnamba Senior Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbukumbu zangu zasema kuwa shindano lile la Big Brother lakiuka maadili ya mtanzania baada ya shindano/mashindano kadhaa yaliyopita kuwa na kasoro fulani fulani... Au ndio mpaka baada ya miaka kadhaa ndio waje wafanye kama kwenye mambo ya ulimbwende uliotangaza wizara kua hawatambui mashindano ya miss tanzania?
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Big Brother kwa Kiswahili inaitwaje? Mbona wanaenda wanawake wengi.
  Kama sikosei Big Brother ni Bonge la dume. Sasa wanawake wanafuata nini, kama si kihele-hele chao, wakiwa-do ndio mnaanza kulalamika
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kwani unapoangalia big brother unalazimishwa?
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa raha zao wanakwenda na vituko wanavyofanya pia wanafanya kwa raha zao.
   
 5. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa 'walizema',walizima au walisema'
   
 6. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli! watu wanashindania pesa nyingi ktk hilo shindano,hasa wale wasio na aibu ya kuanika maungo yao ktk hilo jumba! matajiri bwana..pesa zao hawana pa kuzipeleka!
   
Loading...