Aibu hii kwa waandishi wa habari wa kike Arusha haivumiliki

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Kama ni njaa basi kwa waandishi hawa imevuka kiwango,hii imetokea katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika Arumeru mashariki,ambapo waandishi wa habari wa kike wamethubutu hata kujirahisi kimwili kwa viongozi wa ccm ilimradi apate chochote,hii kero kama mwandishi mwenzao wa habari nilisema sitaivumilia, kwakweli kama kuna wahariri wao ni bora watambue kuwa hawa waandishi wao wanatia aibu sana kwa jami,na hawafai kuandikia vyombo vinavyoheshimika

Waandishi hao ni,Ashura Mohamed kutoka kituo cha radio five ya jijini Arusha,Jeny Edward anayeandikia gazeti la majira na pamela Mollel wa gazeti la majira jijini Arusha.

Naweza kusema aliyeandika makala ya waandishi hawa kwenye gazeti la mwananchi jumapili iliyopita ,ametusaidia sana kwani hata yeye ameyaona haya na kuamua kuyaanika hadharani.

Waandishi hawa wamekuwa kero kubwa , wamekuwa wakiwaganda viongozi wa vyama vya siasa na serikali hadi wanawafuata chooni na kuwasubilia huku wao wenyewe wakipigana vikumbo kwa kusema kuwa hicho ni kicha changu niachie.

Hii taaluma ya uandishi wa habari inazidi kuporomoka kwa kiwango kikubwa bila sisi wenyewe kuonyana,tabia ya waandishi hao ni kuomba fedha kwa wadau tena kwa nguvu huku wakiwafuata hata kwenye nyumba za kulala wageni walipofikia na kuthubutu hata kufanya nao ngono ili mradi ampatiea chochote,wamekuwa na tabia ya kutaka fedha kwa nguvu na kuwa kero kwa viongozi kadhaa wanaofika jijini hapa kwa ajili ya mikutano.

Tunaomba wadau wa habari mtusaidie kuwasema sisi kwakweli tumechoka maana hata chama cha waandishi wa habari Arusha(APC) nacho viongozi wake wamejaa madhambi ya utovu wa nidhamu kwa kushiriki kupatiwa fedha ili nwatumike kuandika habari za wadau vizuri .
 
Tuwekee ushahidi hapa sio unataja majina tu bila kuweka ushahidi hapa. Tena unajiita mwandishi wa habari hata ushahidi huna.
Fani ya uandishi wa habari hapa Tanzania ni tatizo sio kwa wanaume wala wanawake. Waandishi huwa wanakuwa mabango ya ccm wakati wakati wa uchaguzi, wale wa magazeti ya kijani na njano huwa wanakuja na makala za kipuuzi. Wengine wanatetea mafisadi mpaka leo.
Kwa kifupi waandishi wa habari wanaume na wanawake huwa wananunuliwa kama nguo za mitumba
 
Kama ni njaa basi kwa waandishi hawa imevuka kiwango,hii imetokea katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika Arumeru mashariki,ambapo waandishi wa habari wa kike wamethubutu hata kujirahisi kimwili kwa viongozi wa ccm ilimradi apate chochote,hii kero kama mwandishi mwenzao wa habari nilisema sitaivumilia, kwakweli kama kuna wahariri wao ni bora watambue kuwa hawa waandishi wao wanatia aibu sana kwa jami,na hawafai kuandikia vyombo vinavyoheshimika

Waandishi hao ni,Ashura Mohamed kutoka kituo cha radio five ya jijini Arusha,Jeny Edward anayeandikia gazeti la majira na pamela Mollel wa gazeti la majira jijini Arusha.

Naweza kusema aliyeandika makala ya waandishi hawa kwenye gazeti la mwananchi jumapili iliyopita ,ametusaidia sana kwani hata yeye ameyaona haya na kuamua kuyaanika hadharani.

Waandishi hawa wamekuwa kero kubwa , wamekuwa wakiwaganda viongozi wa vyama vya siasa na serikali hadi wanawafuata chooni na kuwasubilia huku wao wenyewe wakipigana vikumbo kwa kusema kuwa hicho ni kicha changu niachie.

Hii taaluma ya uandishi wa habari inazidi kuporomoka kwa kiwango kikubwa bila sisi wenyewe kuonyana,tabia ya waandishi hao ni kuomba fedha kwa wadau tena kwa nguvu huku wakiwafuata hata kwenye nyumba za kulala wageni walipofikia na kuthubutu hata kufanya nao ngono ili mradi ampatiea chochote,wamekuwa na tabia ya kutaka fedha kwa nguvu na kuwa kero kwa viongozi kadhaa wanaofika jijini hapa kwa ajili ya mikutano.

Tunaomba wadau wa habari mtusaidie kuwasema sisi kwakweli tumechoka maana hata chama cha waandishi wa habari Arusha(APC) nacho viongozi wake wamejaa madhambi ya utovu wa nidhamu kwa kushiriki kupatiwa fedha ili nwatumike kuandika habari za wadau vizuri .

ndo maana mm huwa napenda kusikiliza bbc,na ukiangalia sana hao waandishi wanatoka ktk vyombo vinavyoshirikiana na mafisadi
 
Mhmh hapo sijakupata vizuri mkuu, waliomba hela kwa nani na walimfuata chooni nani? Ila kwenye ngono sitauliza kwa vile najua gwiji Mwigulu Nchemba alikuwepo huko hawezi kuwaacha.
 
Nilishawahi onana nao hao waandishi wa kike hapo AICC. Ila mmojawapo walisema anatoka ITV. Kuna jamaa yangu alishinda kama dola mia 800 kwa kufanya presentation nzuri hapo AICC. Hao waandishi wa kike wakijua jamaa anapesa walimfuata ili wampe coverage ya vyombo vyao vya habari kwa sharti la yeye kutoa chochote. Bahati mbaya walikutana na mtu asiyependa sifa.
 
Uandishi wa habari siku hizi ni biashara. Bahasha zimezidi mpaka wanaona ni haki yao kupewa bahasha.
 
Wana JF, sina ubishi katika hao waandishi wa kike, lakini tuwe wakweli hata waandishi wa habari waliotoka Dar es Salaam na kulipiwa fedha na vyombo vya wakiwamo wa Mwananchi (Nevil Meena) Huyu ni Mhariri na Katibu wa Jukwaa la Wahariri naye anaingia kwenye kashfa hii ya kuwaomba fedha viongozi wa na wabunge wa CCM.

Tulimshuhudia si mara moja akienda kwenye kambi ya CCM (Gateway Hotel) akijifanya kujenga hoja za mambo yanayoendelea kwenye kampeni hizo na baadhi ya wabunge wa CCM, lakini mwisho wa Saa alikuwa akilalamika njaa na kudai yeye hajaenda kupiga porojo ameenda Arumeru kutafuta fedha. Naomba tunapowaeleza ukweli waandishi wa kike wanaotumia miili yao kudhalilisha TAALUMA pia wapo wanaume nao wanadhalilisha vyeo walivyonavyo na vyombo wanavyotoka kwani si wanakuwa wamelipiwa kila kitu, hiyo tamaa ya kuombaomba fedha inayoka wapi.

Na hili si kwa Arumeru Mashariki tuu kwani hata uchaguzi wa Igunga mwandishi wa Mwananchi Boniface Meena alikuwa ni moja ya waandishi waliopelekwa na ofisi zao, lakini kufika kule alianza kujipendekeza kwa viongozi wa CHADEMA ili aingizwe kwenye posho za waandishi waliopelekwa na CHADEMA kutokea Dar wakati yeye alilipiwa na ofisi.

Hii tabia si nzuri kwa waandishi wote, tunawaomba wabadilike tutaacha kuwaruhusu kuingia kwenye maofisi yetu wala kuja kutuhoji tunawajua vizuri sana nyinyi.
 
Kuna waandishi wa habari wa aina 3 na kuna bahasha za waandishi za aina 3!.
Waandishi.
1. Genuine Journalist: Hawa ni wale waliosomea fani na na wana wito wa uandishi. Hawa wataandika habari yako bila kudai chochote kwa sababu ni wakaajiriwa na hizo media na wanalipwa mishahara yao.
2. Freelance Journalist: Hawa ni waandishi ambao ambao wanapenda fani ya uandishi na wakasomea au hata bila kusomea lakini hawaku bahatika kuajiriwa. Ili hawa ma freelancers hawalipwi mpaka story itoke!. Wanalipwa kati ya Sh. 2,000- 5,000 per story!. Hivyo you can imagine!. Hao waandishi wote wenye tabia hizi wengi ni hawa ma free lancers na wengine ndio hao makanjanja!.
3. Born Journalist: Hawa ndio wale walio zaliwa wawe waandishi and likely wataufia uandishi. Hawa hujitoa maisha yao ...
 
Tutajuaje kama haya unayosema ni kweli? Au umetoswa/umekataliwa kwa hiyo unamalizia hasira kwa ku wachafua? Weka ushahidi.
 
Back
Top Bottom