Hukumu batili ya lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu batili ya lema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zee la weza, Apr 9, 2012.

 1. z

  zee la weza Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF(majembe), nimefuatilia hukumu ya lema iliyotolewa na Jaji Gabriel Rwakabalira na kuona kwamba kuna vipengele viwili vifuatavyo;

  Illegal campaigns(kifungu 108),kama mbunge wakati wa kampeni za uchaguzi alimtukana au kumdharirisha mpinzani wake au kutukana tume ya uchaguzi, adhabu yake ni kuvuliwa ubunge lakini anaruhusiwa kugombea tena kwenye uchaguzi mdogo utakaoitishwa.

  Illegal practices(kifungu 114), kama mbunge wakati wa kampeni za uchaguzi alijihusisha na vitendo vya rushwa, adhabu yake ni kuvuliwa ubunge na haruhusiwi kugombea ubunge tena mpaka miaka 5 au 10 ipite ndipo anaruhusiwa tena kugombea.

  Lakini cha kushangaza LEMA alihukumiwa kwa kutumia kifungu cha 114 wakati yeye kosa lake halihusiani na rushwa, nimejitahidi kutafuta hivyo vifungu kwenye katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tz ya 1977 ili nivisome vizuri, lakini sjaona hivyo vifungi, tafadhali makamanda anayejua hivyo vifungu vilipo anijulishe, yaani nina hasira sana na hukumu batili ya kamanda wetu lema.
  "Nawasilisha kwenu ma- great thinkers"
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  I wish I could help
   
 3. F

  FRANK MICHAEL Senior Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamanda nahisi na hasira kuliko wewe lakini kwani Mh Lema si anakesi zingine mahakamani? sasa kwa mujibu wa sheria mtu mwenye kesi ya jinai anaruhusiwa kugombea nafasdi yeyote ya uongozi, maana magamba wasitudanganye baada ya Lema kuchukuwa fomu watampinga na kupata ushindi wa mezani
   
 4. K

  Kawiche New Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka inaelekea mambo ya sheria yamekupitia mbali sana,hivyo vifungu uwezi vikuta katika katiba pia katiba haina vifungu ina ibara,ukitaka vipata vifungu hivyo 108 na 114 tafuta sheria ya uchaguzi ndio utapata hivyo vifungu
   
 5. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Hilo la kesi kwani ni shida? Mbona yule naniiii wa kule rombo na naniii wa vijisenti waligombea na huku wanakesi mahakamani halafu naniiiii wa ikulu akawapigia kampeni hadharani? Au tuseme ni CCM tu?
   
 6. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka kuwa huru ucogope kutaja majina sema mh.chenge na mramba na Mh.kikwete ndio aliyewafanyia kampeni
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Iyo hukumu imeamriwa na WAHUNI WACHACHE.
   
 8. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,824
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  Hivi mahakama ya rufaa haiwezi kutengua hii hukumu mshenzi? Yaani mimi nina mgogoro na wasomi wetu wa sheria. Inakuwaje Jaji anatoa hukumu ambayo hata mtoto wa drs la 5 anagundua kwamba jaji kachemka? Hivi kuna ubaya gani huyo Jaji akiangukiwa na nguvu ya umma? Nyamb...f zake!
   
 9. chris n

  chris n Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Soma ibara ya 67 ya katiba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utapata majibu
  ya sifa za mbunge
   
 10. chris n

  chris n Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Soma Ibara ya 67 ya KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ utapata majibu.
   
Loading...