Musoma ipo wapi?Tanzania yenye amani au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musoma ipo wapi?Tanzania yenye amani au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Apr 8, 2012.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Watu kadhaa wamefariki mkesha wa pasaka na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga huko musoma!Jamani huko musoma kuna utawala gani?mbona matendo ya unyama hayaishi?source ITV news
   
 2. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Tunahitaji kumkabidhi Mungu mkoa huu na kumuomba apeleke roho ya amani pale. Mkoa huu unatia doa sana taifa letu. Hakuna kinachomshinda Mungu tukiomba kwa dhati.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ni hataree aisee,polisi wa huko wanakula mshaara wa bure tu!
   
 4. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sasa hawa ndugu zetu Wakurya kama wameamua kuishi hivyo, let it be so! Ukipanda mahindi, utavuna mahindi. Utawala ufanyeje. Uweke askari police kwa kila raia kwa ajili ya ulinzi?
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Bhita ni bhita mura
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umesikia hiyo mahari jamaa kapeleka tarime?

  • panga la kaka
  • bunduki ya baba
  • sime ya mama
  • shoka la mjomba
  • upinde wa binamu
  • gongo
  • mbegu za bangi.
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 8. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  tarime.....mwita malanya,chacha wacha chacha,matindee lete
   
 9. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wewe umekaririshwa Mkoa mzima wa Mara wanaishi wkurya tu?!!! hii JF sio pahala pa majungu ukitaka kuleta habari hapa uje na habari inajitosheleza support ur argument with eveidence..u should not speak from the line of sentiments or hatred....Mkoa ule una makabila karibu 20 wewe unaowajua ni wakurya tu!!!..mbona mikoa mingine hata Handeni juzi kuna watu wameuana kwa mashoka hilo nyie hamuoni...au wale nao wakurya?!! acheni uzushi wenu nyie mnalishwa sumu na CCM ili mtuchafue...
   
Loading...