Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,284
Heshima mbele wakuu,nimekua na ndoto siku nyingi za kuwakilisha jimbo langu la Muleba kusini kama mbunge katika Bunge la Jamhuri,Hii sio tu kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu tu,bali pia kusaidia kupunguza umasikin mkubwa walio nao hawa ndungu zangu,msaada nnaoomba kutoka kwnu majembe yangu ni haya yafuatayo,kwnza kwa sasa niko mwaka wa 3 chuo nasoma sheria je,?2015 naweza kusimama?pia mimi ni mwanachama wa chadema mwenye kadi #353...je itaniitaji kua na hera nyingi kugombea ubunge!?ni hayo tu,naomba pia mnicritisize kama itahitajika,nawasilisha.