Jaji mstaafu hajui TZ ina mikoa mingapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji mstaafu hajui TZ ina mikoa mingapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uliza_Bei, Apr 6, 2012.

 1. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 2,991
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Nimeshangaa nimemsikia jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani BBC anasema 'Tanzania ina mikoa 22 sijui 23' My take: sikufurahia kwa mkubwa huyu kushindwa kuweka kichwani mambo ya msingi kama hili; uzee nao tatizo tunahitaji hata tume kuzingatia kuwa na vijana zaidi kuliko wazee
   
 2. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mie mwenyewe kwakweli nilipo sikia nilipigwa butwaa, nikafikiri pengine hajui Tz ina mikoa mingapi. This is strangeful....!
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,782
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  mbona hata mie sijui,lol:suspicious:
   
 4. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 941
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Sikumshangaa sana maana ni vigumu kuijua mikoa na wilaya zinazoundwa kama zawadi kwa wanasiasa! Ni juzi tu umeundwa mkoa wenye wilaya mbili! Nani ataweza kukumbuka vitu kama hivyo?
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,915
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kwani wewe mwenyewe unajua ipo mikoa mingapi?

  Kama unajua tutajie hapa bila ku-consult vyanzo vingine vya habari

  JK mwenyewe ukimkurupusha kwa swali umuulize kuna mikoa mingapi ... mwenyewe hajui!
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Hii mikoa na wilaya inavyoongezwa na kuota kama uyoga hata mimi sijui ipo mingapi sasa hata kama nilikuwa najua juzi huenda leo wameshaongeza mingine au december itakuwa imeongezeka, sidhani kama kutokujua mikoa mingapi kunampunguzia capacity yake ku-judge cases au issues
   
 7. +255

  +255 JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,793
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kujua au kutojua idadi ya mikoa ni minor issue sana, we unajua idadi ya mikoa iliyopo sasa?
  Hao vijana unaowataka wamelifanyia nini taifa? Sio kila kitu lazima wawepo vijana na sio kila kijana anaweza..
  We unajua Tanzania kuna mikoa mingapi?
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,881
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jestina wewe siyo Jaji
   
 9. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 2,991
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Nimeuliza tu wala msinitemee cheche, angalau ukijua ilikuwa 25 kabla kuongezewa mmoja na baadaye Simiyu,Geita,Njoluma na Mpanda. Lakini kusema 22 sijui 23 lazima nishangae!
   
 10. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 2,991
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Wala hatusemi tume iwe na wanaume sawa kwa wanawake au wazee sawa na vijana! Uwakilishi kidogokidogo unaongeza wigo wa kupata maoni
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,583
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  Magonjwa ya akili mengi, tatizo kwetu mpaka uokote makopo ndio unajulikana una matatizo ya akili.

  Kumbe kuna mengine kama Alzheimer's disease yanakuja na uzee, dalili mojawapo ni kusahausahau vitu vya msingi kabisa.
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
 13. p

  prosperity93 Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nami nikiwa waziri mkuu naongeza mkoa mwingine wa arumeru, rombo, kinampanda etc si tunataka kila aliye kiongozi awe anapewa zawadi ya mkoa....sumaye...manyara...pinda...katavi....lowasa...monduli/arumeru..... nini kipaumbele chetu kujiletea maendeleo
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Utajuaje na wewe uko busy kutafuta vibabu vya kizungu ili uendeshe VOGUE!!
   
 15. Eddy M

  Eddy M Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  huyu naye anazeeka vibaya!
   
 16. Masimbwe

  Masimbwe Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Jestina wa mhz?
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,380
  Likes Received: 1,358
  Trophy Points: 280
  Duh...mbona na wewe unapoteza uhalali wa kumlaumu jaji mstaafu! Katika mikoa iliyoongezwa hivi karibuni hakuna njoluma wala mpanda! Ni njombe na katavi!
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,217
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Mzee wa watu yeye anakumbuka kinanda tu
   
 19. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,881
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  kusema ukweli hata mimi kwa sasa sifahamu Tz ina mikoa mingapi maana inaongezwa kiholela.
   
 20. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,571
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Siyo lazima sana ajue kuna mikoa mingapi TZ, kwasababu idadi inaongezeka kama uyoga! Leo akisema idadi hii, kesho utakuta tayari imeongezwa mikoa mingine! Kama uanzishwaji wa mikoa ni ridhaa ya mtu mmoja badala ya Chombo maalum, hauna haja ya kumshangaa Jaji.
   
Loading...