Wazazi jamani bebeni majukumu yenu ipasavyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi jamani bebeni majukumu yenu ipasavyo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Samkyjr, Apr 9, 2012.

 1. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Leo hii nimekutana na kitu ambacho nimeshindwa kuamini wakati nilikuwapo eneo la tukio, nilimtembea jamaa yangu nyumbani kwake baada ya lunch mkewe akapigiwa simu na mama yake mzazi, mama alikuwa anamlalamikia mwanae juu ya afya isiyoridhisha ya mjukuu wake yule mama wa mtoto akamjia juu sana housegirl wake mbele yangu na mumewe kuwa anashindwa kulea mtoto ndiyo maana analamikiwa juu ya afya isiyoridhisha ya mwanae, housegirl ana miaka 16 tu. Du hawa wanawake wa kisasa kazi ipo.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sijui ndio utandawazi sijui kukwepa majukumu lakini pengine huyo mama ni nesi akiwa kazini anawasimanga kweli wake zetu wenye watoto wenye utapia mlo,
   
 3. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  afadhari hata angelikuwa anafanya kazi kamaliza chuo ifm mwaka jana bado hajapata kazi.
   
Loading...