Swali kwa Zitto Kabwe.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa Zitto Kabwe....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i pad3, Apr 8, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa nini uwanja wa ndege wa kigoma hauna lami?kuweka lami ni jambo la anasa?
  inawezekena huhusiki ila sijaona mtu mwingine wa kuuliza hili swali la kuhusu kigoma
  kigoma.jpg
   
 2. m

  mwasha Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Dubai ya tz
   
 3. O

  Omtata Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  anajua kg hawahitaji ndege za kisasa wanatumia zakwao za jadi ambazo ni cheep

  nadhani waboreshe reli na barabara kuwasaidia wahamiaji:rapture:
   
 4. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Sio Uwanja Wa ndege huo kaka, ni airstrip
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndio nauliza kwa nini air strip hazina lami?
   
 6. E

  Elihuruma Jacob New Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali lako liulizwe na Peter Serukamba
   
 7. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jana niliuliza hapa,,na kumbe ndege ilishindwa kunyanyukwa kwa sababu running way ilikuwa na matope..big shame
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  unajengwa na fedha zimeshatengwa
  mwanzoni mwa 2000 wamarekani walitaka kuujenga wao wenyewe ili wautumie kwaa jili ya kuvusha madini na kupelekwa walinda amani Kongo lakini serikali ya bongo ikataka wapewe hizo hela wakatoa nje hawakaujenga tena
   
 9. m

  mjuba New Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 26, 2007
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kama kweli tulidai tupewe hela!!!
   
 10. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Is this great thinking? Jipime mkuu watu wanaongea hoja za mabadiliko na siyo hivi.
  Back to topic ule uwanja ulikuwa ukitumiwa sana na UN kwa ajili ya operationa zao za Congo na nadhani wao ndio waliokuwa wanagharimia maintenance ya uwanja huo.
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pia kuna tetesi kuwa miaka ya
  Ya 2000,kuna fungu kubwa lilitengwa kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa kwa viwanja vingi vya ndege!Hiyo pesa ikaelekezwa mkoa mmoja tu kusini na kujenga uwanja mpya ambao hata hivyo mpaka sasa haujakamilika.ilikuwa kwa influence ya waziri mmoja?
   
 12. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Kwani huo uwanja upo kwenye jimbo gani?maana huenda ukawa upo jimbo la Serukamba!!
   
 13. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Miaka 50 ya Uhuru...Tumethubutu Tumeweza na Tunasonga mbele...!
   
 14. M

  Mcgustine Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Upo jimbo la kigoma mjini
   
 15. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ako ka-katuni mbona kana nitisha mkuu?Kama vle kachawi??teh teh teh
   
 16. m

  massai JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  air strip,kiswahili chake ni nini?mbona ameeleweka tu jamani,kuna kiwanja kikubwa na kiwanja kidogo.
   
Loading...