Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

More than 30,000 people in Dar es Salaam have attended the funeral of Tanzania's most popular film star Steven Kanumba, who died on Saturday. A BBC reporter in the city says the burial had to be...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nimemsikia kwa masikio yangu kada mmoja wa CCM akiteta na mwenzake kwenye simu kumpongeza kwa kazi iliyofanyika ya kuchoma soko la Arusha ikiwa ni kukwamisha maendeo kwa majimbo ya upinzani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia hali tete iliyotangazwa na mamlaka ya hali ya hewa inaelezwa kuwa mijengo iliyo pembezoni na bahari ya Hindi wamehamia mikoa jirani!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa na hangaika na foleni baada mvua kubwa iliyonyesha Jijini Dar, maeneo ya mataaa Morocco vijana walikuwa wanauza CD za msiba na mazishi ya Kanumba steve (RIP). Kijana anasisitiza picha zote...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Wakili maarufu nchini Median Mwale amewalalamikia mawakili wa serikali kuendelea kupiga danadana usikilizwaji wa rufaa waliokata ya kupinga mahakama kuamuru magari hayo akabidhiwe wakili Mwale,leo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf mlioko maofisini msitoke muda huu kuna foleni ambayo kimsingi ni kwamba hakuna gari inasogea
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna maswali mengi mimi kama mtanzania nimekuwa nikijiuliza mazingira tata ya kifo, na kuzikwa kwa gavana wa bot, daud ballali. Leo gazeti la fahamu limenitegulia kitendawili kuwa ballali hajafa...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Steven Kanumba - Big Brother Africa 2009 Interview - YouTube
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wenzangu watumiaji wa huduma za simu za vodacom, je mmewahi kuomba huduma ya voda swaga na kama ndiyo je ina manufaa gani kwa mteja wa voda? Sasa nawauliza watoa huduma za voda, hii vodacom...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa jijini... Wataalamu tujuzeni kunani cuz hizi radi zinaweza kutuangusha tulio magorofani...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau nna imani kuwa ntapata msaada juu ya utaratibu wa kupiga/kupigiwa saluti. Nikianzia na obama huwa namuona akijibu anapokuta askari wanampa saluti bt jk cjawahi ona. Then leo msibani kova...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Je General Kyaro hakuna na mchango wowote katika taifa la tanzania? Hapa nipo nasubiri TBC:mimba:clouds Tv kuonesha live mazishi ya our Beloved General Kyaro RIP G. Kyaro RIP Kanumba RIP Katiba mpya
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Foleni za kufa mtu... Kilwa rd,jangwani watu wanachapa lapa tu usafiri wa umma umekuwa mgumu Boats za Zanzibar zimezuiwa Radi hatari wadada na rqmbo vichwani Makaburi jirani na chang'ombe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wako mbioni kujiengua chama hicho Baadhi wakiri uwezekano ni mkubwa Chiligati: ``Sina taarifa hizo na mimi sio mmoja wa wabunge hao." Na Restuta James 10th January 2010 Baadhi ya wabunge...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
UPDATES; Moto huo umeshadhibitiwa tayari kutokana na juhudi za wananchi na kikosi cha zima moto. Hadi sasa haijulikani moto huo umesababisha hasara kiasi gani. Moto mkubwa umelipuka katikati ya...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Thirty kilometers east of Serengeti National Park, a cluster of people draped in red ‘shuka’ (the iconic red checkered cloths often worn by the Maasai) dots the golden acacia woodlands and short...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wakulu heshima mbele. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia salamu za raisi wetu mheshimiwa Jakaya Kikwete ambazo ni ama za kupongeza, au kutoa rambirambi au kutoa pole. Mara nyingi mheshimiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana mjihadhari pombe mtumie kwa kiasi mtapata matatizo kama ya mwenzenu Kanumba. Au mmebaki na utanzania kwamba mkimpenda mtu basi anakuwa ni msafi kwa kila kitu especially akishakuwa amekufa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
majira ya saa 5 asubuhi leo kumetokea radi kubwa sana katikati ya jiji. Kwa upande wa baharini anga ilionekana kama kitu kilikua kina ungua na moshi ulitanda. Pia kuna tetemeko la sunami huko...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…