M pesa mbona unwadanganya wateja wenu?

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Kwa siku za karibuni nimewasikia mkiwatangazia wateja wenu kuwa wakiongeza salio kwa M Pesa wanapata nyongeza ya 25% lakini kila nikiongeza sijaona hiyo nyongeza. Hii ikoje?
 
sidhani kama thread yako ni muafaka ktk jamvi hili. tafuta jamvi muafaka...
 
Kwa siku za karibuni nimewasikia mkiwatangazia wateja wenu kuwa wakiongeza salio kwa M Pesa wanapata nyongeza ya 25% lakini kila nikiongeza sijaona hiyo nyongeza. Hii ikoje?

Voda ni matapeli wakupitiliza siku hz,kila sehemu ni malalamiko juu yao,nafikiri tigo na airtel wako sawasawa!ila hii thread naona kama hapa sio mahali pake mkuu!jaribu kuipeleka inakohusika!
 
Mkuu uliweka ngapi ukaongezewa ngapi (ambayo sio asilimia hizo..) ?, uliongezewa asilimia ngapi ?
 
M-PESA ni wapumbavu sijapata kuona. Wanajaribu ku convince wateja kimtego mtego.
Pumbavu zao mtandao wa Msekwa na Lowassa.

Mods! Peleka hii thread kwenye mseto!
 
Kwa siku za karibuni nimewasikia mkiwatangazia wateja wenu kuwa wakiongeza salio kwa M Pesa wanapata nyongeza ya 25% lakini kila nikiongeza sijaona hiyo nyongeza. Hii ikoje?

"The significant problems we face cannot be solved
at the same level of thinking we were at when

we created them"
Dr. Wilbroad Peter Slaa
 
Kwa siku za karibuni nimewasikia mkiwatangazia wateja wenu kuwa wakiongeza salio kwa M Pesa wanapata nyongeza ya 25% lakini kila nikiongeza sijaona hiyo nyongeza. Hii ikoje?

Mbona wanakuongezea asilimia 25 ya salio lile ulilonunua?sema ulichokuwa hujui ni jinsi ya kuangalia hilo salio,huwa hawaliongezi kwenye salio lile la kawaida.kuangalia salio la bonus unapiga *102* 01#na utaona salio lako.
 
Nashukuru kwa maujanja ni kweli tatizo ilikuwa nategemea liingie kama sehemu ya salio la kawaida - Big up jf hatuishi kujifunza humu
 
Mbona wanakuongezea asilimia 25 ya salio lile ulilonunua?sema ulichokuwa hujui ni jinsi ya kuangalia hilo salio,huwa hawaliongezi kwenye salio lile la kawaida.kuangalia salio la bonus unapiga *102* 01#na utaona salio lako.

Mkuu ni kweli ukipiga *102*01# unaona ilo salio,ila ukweli ni kua hiyo bonus hautoweza kuitumia kwa kutuma msg wala kupiga simu,wanachofanya ni kiini macho,voda ni matapeli wa kutupwa!
 
Back
Top Bottom