Kibela wa vodacom akataa sh milion 10. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibela wa vodacom akataa sh milion 10.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Apr 13, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli vodacom mmechemka,jipangeni yani inaonesha wazi kabisa mshindi mmempanga wenyewe,we mtu mfanyakazi wa gereji anapigiwa na kutaarifiwa ameshinda then anauliza hizo hela mie nitafanyia nini? Mjipange Tena!

  Nawasilisha
   
 2. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa!
   
 3. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahaha kajitahdi kuwapotezea
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  kwani kuna ubaya gani? hajawah kushika hela nyingi sasa asiulize?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Continuity hakuna kabisa pale....unataka kuniambia na wewe ukishinda bil2 utauliza nizifanyie nini?
   
 6. kaburu mdogo

  kaburu mdogo JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  mi niliacha kuicheza hii michezo toka kipindi kile cha jackpot bingo
   
 7. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  huwapa watu wao ili wagawane hakuna cha kuingia kwenye droo wala nini fix tu.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  inawezekana alipata mshtuko akawa hajielewi.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hii michezo huwa ni wizi mtupu, rafiki zangu walipewa ushindi wa milioni moja kila mmoja ila kila mmoja alitakiwa kurudisha laki 9.
   
 10. B

  Baby shangazi Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwel labda mshtuko, kuna dada alizimia wakati tunapewa boom la first year,tulipewa cash laki7 na 85 ya first semester! Ile kupewa na kuambiwa ahakikishe dada wa watu puuu chini, ikabid 2mpe first aid
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  point yako ni nini??
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kama mimi..hii michezo mshindi anapangwa!!!
   
 13. B

  Baby shangazi Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  you cant see while you are looking lol!!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  I'm ray charles to the bull ish.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wizi mtupu,yani jamaa kashindwa kuigiza kabisa ikabidi wakate hile sehemu maana ilikua full maigizo!!
   
 16. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hio hela nikienda mjini one time sirudi na kitu
   
 17. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Kuna watu hawajawahi kukamata hata laki moja, itakuwa milioni kumi! Nyinyi wengine humu munajifanya muna fedha nyingi sana na hamubabaishwi na 10 million.

  Ila na mimi nikizipata ntachanganyikiwa kabisa ikiwa sijazipangia matumizi.
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Milioni kumi ukinunua GX100 Cresta chenji hairudi.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha! Nahisi hata mi nikipata hiyo 10m ya ghafla lazima nipoteze faham kidogo. Lol.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  sijaona kosa! anaonekana ajawai shika pesa kiasi hicho ndio maana akachanganyikiwa na kuuliza azifanyie nini!
   
Loading...