Dar Es Salaam City-Nani ataliokoa jiji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar Es Salaam City-Nani ataliokoa jiji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamasala, Apr 15, 2012.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  -Overpopulation,watu wengi hawana la kufanya!
  -Uchafu ,hasa manyunyu yakidodondoka.
  -Wachina wamemwaga cheap pikipiki,nauliza Police Traffic kwa nini mnaruhu watu kuendesha pikipiki bila HELMETS?Au ndio mafundisho yenu huko chuoni Moshi?
  -Juzi nilifika usiku toka mikoani kwa bus,nikabanwa haja ndogo.Niliyoyaona pale chooni kituo cha mabasi Ubungo ni aibu kwa hili taifa.Watu kujisaidia sakafuni !!!!!Oh my God!
  -Daladala nyingi ni scraps ,hazitakiwi kuwa barabarani.
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,859
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Nashukuru Ndugu na wewe Umeyaona Haya!! Wenye Mamlaka ya Kurekebisha yote Haya Wanatembelea Magari yenye Numba Hizi!! SM ....;STK ..... DFP; ......, SU...... Sasa kero kwa watu wanaowatawala Hawazijui!! Public Transport .. Kwao Haiwahusu, Public Toilets haiwahusu kwani ni rahisi kuingia kwenye Hotel za Kitalii, Mauwaji yanayofanya kwenye usafiri wa bodaboda kwao Hawana Tabu kwani VX Zinawasubiri Milangoni!! Dawa ni wananchi Kusimama na kusema Haya sasa Basi!! Ila kwa Dar Nipe miaka mingine Sita!! Jiji Kubwa kama Dar Wabunge walioshindwa wa Magamba wanapeta? Haiingii akilini!!
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe unaongelea uchafu?mimi hofu yangu ni kuuzwa kwani vitu vilivyobaki kupigwa bei ni dar,jkt,jwt,magereza,mahakama na polisi.
   
Loading...