Wna JF come HER ...........

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Nawasilisha ndugu zangu wana jamii F
kwa fraha yangu niliyo nayo kuwaandikia leo kwenu hii ikidhihilisha ni kwa jinsi gani nimeguswa na hii JF
Ni kwa kipindi kifupi nikimanisha kipindi kama cha miezi miwili au mitatu hivi lkn nimegundua hii ni sehm amabyo inaweza ikakuza ubongo kufikili kuongeza weledi na kujua mambo mbali mbali KUMBE NILIKOSA MAMBO MAZURI KWA MDA WOTE HUO HASNTE MUNGU KWA KUNIFUNGUA MACHO
Ndugu zangu wana jamvi nina hoja mim sio msiasa lkn ni mpenda mageuzi na mabadiliko kwa ufupi naichukia CCM ila nawapenda wana CCM
hoja yangu ya leo wana jamvi wenzangu wapenda mabadilikona mageuzi kama mim Tanzania inakadiliwa kuwa na populatuon ya pipo 6O Million na kwa mujibu wa daftarli la kupiga kur 21 Milllion ndo walikuwa na vigezo vya kupiga kura wasi wasi wangu tusije tukawa tunaimba mageuzi na mabadiliko sisi tulio wachache wa mijini lkn sisiem wakajipatia adavanteg ya huko vijijini amboko bado mwako ni mdogo na ukizingatia karibu asilimia kubwa ya wapiga kura wako huko over 80%
naomba kuwaslisha thread yangu ni ndefu am sory na kama nimekukra live me alone
 
Umeona arumeru??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom