Mzungu kupiga watanzania risasi kila mara ni haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzungu kupiga watanzania risasi kila mara ni haki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lilemekisande, Apr 15, 2012.

 1. L

  Lilemekisande Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana jamii,mimi ni Mtanzania ambaye nasikitishwa sana habari ya kila siku kwa Watanzania kunyanyasika katika nchi yetu,Habari hii ni kutoka Mirerani Mkoa wa Manyara Wilaya ya Simanjiro katika kijiji cha Naisinyai ambako ndipo ilipo kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite iitwayo Tanzanite One Mining LTD.Kuna mzungu mmoja ni mwajiliwa wa kampuni hiyo aitwae Collin mnamo mwaka kati ya 2003 mpaka 2005 aliwahi kumpiga risasi kijana mmoja na kumuua kisa eti alikuwa andandia gari lililokuwa limebeba udongo uliotoka mgodini,kesi hii ilizungushwa zungushwa tu na huyo mzungu akakimbilia kwao South africa,alikaa huko kwa muda na mara tena akarudi na kuendelea na kazi,watu walijiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu,hilo likawa limepita.Ila ajabu nyingine tena amerudia tabia yake ya kupiga watu risasi.Ni kama siku 5 au 7 zimepita amefanya tena tukio hilola kupiga vijana wa huku Mirerani kwa risasi na vijana hao inasemekana waliingia kwenye mgodi wao bila ruhusa basi yeye akachukua jukumu la kuanza kurusha risasi kwa watu hao,sasa mimi swali langu ni kwamba hivi serikali yetu iko kweli kwa ajili ya watanzania au kwa ajili ya wawekezaji wakorofi kama hawa,jamani mimi nimemaliza ila naomba nanyi mtoe mawazo yenu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mkuu peleka hayo maswala usalama wa taifa + HRLC
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  'kuingia mgodini bila ruhusa' hapa ndo tatizo. Sijui mtu akiingia gheto kwako bila ruhusa itakuwa vipi timbwili lake, kama juzi yake ulilizwa TV.
   
 4. L

  Lilemekisande Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka kama mwizi hajakimbia unampiga tu risasi?kama ndio matumizi yake basi kila siku tungesikia mauaji ya silaha kisa tu mtu kaingia ndani kwako.
   
 5. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  anapigwa za miguuni atulie kwanza, au mkononi adondoshe panga lake.
  Ila si busara sana kwa mhalifu kujipangia adhabu (reaction)
   
 6. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Nashawishika kuwashauri wana mererani wamuue huyo mbaguzi kama kuna wanaomlinda wajifunze. Pigeni mshale huyo mjinga. Hawa makaburu (baadhi) wana ubaguzi sana. Kama mtu ameingia eneo lao na hakuwa na silaha kuna taratibu. Imefika wakati wa kuwafundisha haya majitu na wanaowalinda kwa njia ngumu
   
 7. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hizi ndizo faida za uwekezaji alizokuwa akijisifia Benjamin Mkapa. Aishiye kwa upanga atakufa kwa upanga na auaye auawe pia.
   
 8. damper

  damper JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wala sio kwa mwekezaji tu anayeweza kuchukua hatua kama za huyo kaburu, hata wewe jaribu kudandia gari ya benki ya makabwela (NMB) ikiwa na pesa uone nini kitatokea!! Hao ni majangiri tu wanao vamia migodi na wanakuwa tayari kwa kifo.
   
 9. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Kwa hiyo mkuu unatuaminisha kuwa kwa kuwa Nmb wanafanya hivyo basi kaburu akifanya hivo itakuwa sahihi? Kama ndivyo, utatuambia pia kwa kuwa kuna wanaume mashoga basi ushoga ni kitu poa. Nina mashaka na hiyo hoja yako
   
 10. M

  Mandago JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 238
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa lazima akamwatwe na ahukumiwe kifo kwa sababu ameua mtu na anaendelea kua watu (huyu jamaa labda anatudhania sisi watanzania kama bata anaweza kutua wakati wowote tena kwa bunduki, na sisi tunamwacha tu bila kumpeleka mahakamani), nashangaa sana kwa nini hakamatwi ? kisa hiki kimenikumbusha ukoloni. inasikitisha sana.
   
 11. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Linalotoka Kinywani mwangu ni moja " Kuweni macho na marafiki wa kigeni kwani wana hila , wanajifanya wanatoa misaada kumbe wanachota Mali na Rasilimali za Nchi na kuwaacha na Umasikini wenu.......... naomba mzingatie neno hili.ยดยด

  James Irenge ' Mwalimu wa Mwalimu Nyerere'

   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mhalifu anatakiwa kukamatwa na kushtakiwa kwenye vyombo husika na sio watu kujichukulia sheria mikononi!!!Huyo Mzungu anatakiwa apelekwe kunakohusika!!!
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Me nakereka sana na lawama kama hizi,Serikali hii si yenu ni ya wageni nawashangaa mnavyolalamika kuhusu serikali,Kwani nyie hamjui kutengeneza silaha za jadi /mikuki ,mishale,manati ect ect?acheni kulalamika.
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Haya mambo wanayaweza Tarime tu, wakiamua wameamua hakuna wa kuwazuia,nawakubali sana Wakurya.
   
 15. L

  Lilemekisande Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 16. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Waueni kama na nyie wanawaua an eye for an eye...nchi hii haina serikali..wenye hela ndio wanasikilizwa
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Kisha wafundishe wenzio kutoingia kwenye boma la mtu. Hata ukimuua huyo atakuja subshooter mwingine. Dawa ni kuacha kuingia kwenye boma la mtu.ciao
   
 18. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Vyombo vipi husika na vya Serikali ipi hii ya CCM?Labda angekua mwanachama wa chadema sawa. Nyani anashirikiana na Ngedere kula mahindi ya binadamu ,halafu kesi mpelekee Nyani. si wamesema alishaua kwanza wakamtorosha kwao , mambo yamepoa karudi tena. Mtungueni na mMshale wenye Sumu mchezo uishe. Ndiyo watajua hata Manyunyu ni Mvua pia.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Samahani kama ntakukwaza... unataka serikali ifanye nini??? watu mko zaidi ya laki halafu mzungu mmoja mnayemjua mnamuangalia na kuja kulalama huku

  ANZENI KUWATANDIKA NA KUWACHOMA MOTO MUONE KAMA WATAWAUA TENA.... WANATUDHARAU KWASABABU KAZI YETU NI KULALAMA TU!!! MWAMBIE AKAJARIBU KWAO SOWETO AONE

  TUMEZIDI SASA, FIKISHA UJUMBE KWA VITENDO KAMA UMEONA MENGINE YAMESHINDIKANA.... KUMBUKA KWAMBA HUYO JAMAA ANAPITA KWENYE BORDERS ZETU NA ANAGONGEWA VISA ILHALI INAJULIKANA KABISA YEYE NI MUUAJI, NCHI IMESHAUZWA MKUU, DAI KWA VITENDO
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mbona hoja yake ni nzuri tu؛‎ usipende kudandia vya wenzio. Kwani wewe mtu akiingia kwenye boma lako utamfanyaje?
   
Loading...