Luku kwa Airtel Money ina tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luku kwa Airtel Money ina tatizo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mubii, Apr 14, 2012.

 1. M

  Mubii Senior Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimenunua luku kwa airtel money lakini sijapata umeme kwa kupata ujumbe mara nyingi wa sms kwamba service haipo kwa sasa na nijaribu tena baadae. Cha ajabu hela wamekata.
   
 2. M

  Mubii Senior Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Baada ya kuwasliana na Airtel customer care nimefahamu kwamba hela yangu ilirejeshwa jana hiyo hiyo lakini baadae bila kuwa notified. Leo nimenunua kama kawaida na kupata units zangu. Nawashukuru Tanesco/Airtel kwa kupata ufumbuzi.
   
 3. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,263
  Likes Received: 3,099
  Trophy Points: 280
  Tigo ndio imekufa zamani sana....
   
Loading...