Kama unajua nisaidie

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Habari za wikiendi wanaJamii. Naomba msaada juu ya tatizo hii. Nimemtumia mtoto wangu pesa toka jana kupitia tigopesa. Cha ajabu ni kwamba mpaka leo hajapata meseji ya kupokea pesa, na hata balance yake haionyeshi kama kuna pesa imeingia. Kwa upande wangu pia hata meseji ya kuonyesha kama nimetuma pesa sijaipata, lakini salio linaonyesha kwamba pesa imetoka. Naomba msaada kama kuna anayejua jinsi ya kuwasiana na watu wa tigopesa anielekeze. Hapa nilipo hakuna ofisi za tigo, niko chaka sana.
 
i thnk unabidi uende kwenye servie center zao. be careful wakupe majibu yanayoridhisha coz ukikutana na asiejua atakujibu kunya tu! nadhani m pesa ni nzuri atlist, tgo wazembe sana kwenye ishu za mane transfer.
 
Thanks for advice
 
Back
Top Bottom