Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, James Ole Millya, amejivua nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona Media zetu zinakuwa na unafiki wa kuleta habari kwa watanzania muda si mrefu tutaanza kutoa maoni juu na katiba yetu ili kupata tanzania tunayoitaka 1. Juzi tarehe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
mwanamama mmoja mgombea wa ubunge katika bunge la jumuia ya Africa Mashariki amejitoa dakika za mwisho katika kinyanganyiro hicho kwa kile kinachoonekana kuwa ni kushindwa kujieleza kwa lugha ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napita muda huu ubungo muda huu,Nimeona hapo magari ya maji washa mawili,difenda 2 wakiwa wako full yani kama kuna shughuli. Doria ya kuwafukuza maskin wenzetu waliojiajiri wenyewe. Maswali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hawa tigo..r fully owned by foreigners...their services are poor...taxes kupima hatuna recordi zao..... while Airtel Tanzania ambayo sasa inamilikiwa na Indians...wameguuza kila k2 chao into a...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Jamani nahitaji kuwasiliana na bwana lowassa lakini kama kwaida appointment na vigogo mwaka hadi mwaka humpati mwenye namna yoyote ile anisaidie si lazima nimuone face 2 face hata kwa mail au text
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Nimesikia uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM,gazeti la uhuru wameandika kuwa Milya alikuwa ni mzigo kwa ccm na kwamba alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jf naombeni ushauri jamani, kama nilivyowaambia jana kuwa nimejifungua jana mtoto wa kiume kwenye thre yangu, nashukuru sana kwa wote walionitumia salam za pongezi , nasema tu mbarikiwe sana...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tutakuwa pamoja nanyi tukizungumzia moyo wenye huruma, moyo wenye ulaini, moyo ulio umbiwa huruma. Tutakuwa tukizungumzia moyo ambao umeumbwa siku ulipoumbwa, ukapandikizwa huruma, tutakuwa na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi mbunge wa viti maalum akifariki nafasi yake hujazwa?na kama hujazwa je mbunge atakayeteuliwa ni lazima atoke ukanda wake ule au anatoka kokote?na kama hujazwa je nafasi ya regia mtema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipopita pale Muhimbili majuzi tu, kwa mng'arisha viatu, nilikuta jamaa mmoja anatamba kwamba anataka kuwafunga madaktari wa Muhimbili sababu walimzuia kutibu wagonjwa wanaodaiwa hahusiki nao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini, jamani nataka kujua kama ile Tiba ya kikombe Samunge kwa babu bado inaendelea au imefika mwisho, na kama imefika mwisho mwisho wake umekuwaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUANGUKA kwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma kumeliacha shirika hilo likiwa halina ndege hata moja inayofanya kazi, kwani ndege yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Jana katika safu hii tuliandika tahariri ikikumbusha umma juu ya umuhimu wa kujiandaa kwa majanga yawe ya asili au hata ya kusababishwa na binadamu. Tulisema kuwa majanga mengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umeyakuta madudu mengi sana sekta ya elimu katika ziara yako, moja ni ucheleweshaji wa kupanda vyeo walimu na kutozingatia uzoefu kazini-Seniority, pia walimu kutozwa pesa za vitambulisho na Afisa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
ABG na GGM wameleta wataalam wa upasuaji nchini kwa ajili ya kuwafanyia upasuaji wagonjwa wa 'mdomo wa sungura' huko kanda ya ziwa (source: TBC Habari). Tatizo langu ni kurusha hewani wagonjwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakumbuka kabla jk hajawa JK, Mama Chalma alikuwa mwalimu pale sinza. Kila mwisha wa mwezi,tulipigana vikumbo wilayani kugombea mishahara. Najua kabisa, hali ile hakuipenda, maana ni hatari kwa...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Naleta hii changamoto wakuu, ina ukweli kiasi gani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtoto wa Yusuph Makamba ajulikanaye kama Amani Makamba,amefungwa Jela miezi 6 kwa tuhuma za kujipatia Mbegu za Mahindi zenye thamani ya Millioni 2.6. Mtuhumiwa ametiwa hatiani tarehe 5/4/2012...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
maisha yangu siwezi kuwa askari wa jeshi lolote bora niwe mkulima wa ndengu kuliko kumwabudu, kumgeshim kiongozi fulani kuliko hata mungu? wacha nife masikini bwana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…