Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf...
Baada ya kuona post ya jana juu ya kuoana kwa Watanzania na Wakenya, imenikumbusha mkenya mmoja niliyekuwa naye mjini Iringa ambaye alisema Tanzania inabana ardhi yake sana kiasi cha kuwawia...
"Rushwa inavyotembezwa katika uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki inatia simanzi sana. Haingii akilini kwangu kabisa kwamba Mbunge anahongwa ili kuchagua Mgombea fulani. Nchi hii inanuka...
Nawasilisha
hivi walio kuwa wamezaliwa enzi hizo huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani? Na nin nin chanzo chz kifo chake make huwa nasikia meengi juu ya yeye na hayati karume ?????
Mwenye...
Siwaelewi hawa jamaa wa simu, wanatula hela kwa wizi. Kuna wakati tigo wanatoa ofa ya muda wa maongezi lakini ukipiga simu wanakukata tu kama kawaidia. Airtel nao wana utaratibu wa JIRUSHE, yaani...
Mh. Mary Nagu jana aliondokewa na baba yake mzazi hivyo naomba tuchukue nafasi hii kumpa pole sana.
Wakati wa msiba ni kuomboleza hebu tuachane na tofauti za kisiasa haswa matamshi ya kule Arumeru.
Katika hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa, maisha, ambayo nayaita ya kawaida, katika jiji letu, yameota mbawa. Hata bamia limekuwa ni anasa - kilo moja ni shilingi 3,000. Najiuliza maswali...
Ndiyo wakuu! Kwa habari nilizo pata now ni kuwa Msnii wa bongo flava, Sumalii a.k.a Mzee wa hakunaga amefiwa na mama mzazi hospital ya Taifa mhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa...
Je watanzania tunajifunza nini kupitia EALA.Je kiswahili kimetumika hapo.Kiengereza kinatakiwa kuanza kufundishwa kuanzia primary hadi chuo.Hapo ndiyo tunaona umuhimu wa kizungu.
Najiuliza kila siku eti zile vita zinazoitwa vita za dunia(1&2) zilikuaje?? Kwamba kila nchi inakuwa kwenye mapigano?? Unapigana na nani na kwanini?? Au yoyote yule aliye mbele yako halali yako...
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa...
Wadau, habari tulizozipata zinasema kuwa Gulam Dewji, yule mmiliki wa Mohamed Enterprises (MetL) usiku wa leo katuma vijana wake nchi nzima na wamefanikiwa kununua nakala zote za Jamhuri na...
Jaman nadhan huu ni time ya maoni ya mambo yahusuyo KATIBA, sasa jaman tujaribu kuliangalia hili kwa time hii. Mfano mamlaka ya rais pamoja na kinga aliyo nayo ya kutoshtakiwa, 2, undwaji wa tume...
Mjaa jaa na upwa hali wali mkavu
wakati bunge la jana likiwaka moto mh zitto kabwe alisimama na kusema
kuna wabunge wamehongwa na wengine mawaziri ili kuua chc na hivyo kuficha ubadhirifu wa fedha...
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda.
Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika...
Nimekuwa nikijaribu kuchunguza hasa kazi ya makamu wa rais ni ipi, na je umuhim wa cheo hiki ni upi kimantiki hali una waziri mkuu?sikupata jibu, nimekuwa nikijaribu kumuona makam wetu akikata...
Michuzi blog ni jukwaa ambalo halikosi kutoa habari inayohus Chama cha Mapinduzi. Lakini leo tangu kupatikana kwa habari ya Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndugu Malya, Michuzi blog haijaweza...