Hivi huyu hayati Sokoine ndo nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu hayati Sokoine ndo nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 15, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nawasilisha
  hivi walio kuwa wamezaliwa enzi hizo huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani? Na nin nin chanzo chz kifo chake make huwa nasikia meengi juu ya yeye na hayati karume ?????
  Mwenye chochote greater thinkes
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Una miaka mingapi?
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hata mimi sijui.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Edward Moringe Sokoine, alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia Februari 13, 1977 mpaka Novembe 1980, alikuja kuchaguliwa tena kuwa Waziri Mkuu Februari 24 1983 mpaka April 12 1984, alipofariki kwa ajali ya gari, akiwa na umri wa miaka 45.
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hebu tembelea hizi sites

  Edward Sokoine - Wikipedia, the free encyclopedia

  Edward Sokoine - Wikipedia, kamusi elezo huru

  edward moringe sokoine - Google Search

  Hivi siyo wewe uliyeuliza kuhusu Marehemu Gen Kyaro kuwa hujui ni nani na alifanya nini katika TZ?

  Nakushauri ujaribu kutumia google search kupata taarifa za watu muhimu unaokuwa umewasikia na kama kuna kitu zaidi ndiyo unaweza kuleta jamvini kupata maelezo zaidi. Ila kuuliza kama hivi ukionesha kuwa hujui kitu kuhusu watu muhimu kwa Tanzania kama hawa kunaweza kutoa picha mbaya kwa upande wako!
   
 6. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  watanzania bwana!swali juu swali badala ya kujibu.
   
 7. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hasnte bro lakin nilitaka kujua cha ziadia kutoka kwa mtu huyu pengne ambcho kilisahauliwa kuandikwa kwenye goegle kutoka kwa greater thinker wa JF
   
 8. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kumbe ina maana unajua isipokuwa unapima vichwa vya Watu wengine vipo namuna gani!!!!!!!!!!


  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 9. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kipi cha ziada ulitegemea ?! Watoto, mali, elimu, mke/wake ? Jitambue na uliza huku ukifahamu humu wanaingia watu wenye ufahamu mkubwa, hivyo maswali ya ki st. academic sch. ni kero !.
   
 10. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Huyu Sokoine ndiye aliyeanzisha dala dala. Kulipokuwa na matatizo ya usafiri,akaamka siku moja akasema,''Naruhusu watu binafsi kuagiza magari kuanzisha safari ya usafiri dar''
  Alikuwa ni kiongozi mwadilifu,kiongozi ambaye watu wanakubaliana kwamba alikuwa mwadilifu mwenye bidii ya kazi,efficient;naweza kutoa mfano kwa viongozi wa sasa,nikasema kwamba alikuwa kama Kingunge Ngombale Mwiru au sijui nani mwingine,lakini hilo ni jambo ambalo linaweza kuanzisha ubishi. Tuseme kwamba angewepo hai sasa hivi angemrithi Kikwete.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo ni mmoja ya watu waliosaidia kuifanya Tanzania iwe maskini wa kutupwa na wa mwisho duniani wakiongozwa na Nyerere.
   
 12. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hivi hizo ndiyo shule zilizofutiwa matokeo? watu wengine hamuwezi kuficha chuki zenu?
   
 13. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ki vip? Funguka zaidi
   
 14. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana mkuu hii ndo michngo bhana thank you
   
 15. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tunakumbushana kidogo kabla ya kuanza dalala, wakati uda umezidiwa aliruhusu mabasi ya mashirika ya umma baada ya kuwafikisha wafanyakazi maofisini na baada ya kuwatoa jioni yabebe wananchi wa kawaida, baada ya hapo ikaja ruhusa kwa mabasi ya watu binafsi. Wahujumu uchumi walitupa mali baharini kama ilivyokuwa wakati wa mrema majambazi kusalimisha silaha wenyewe. Alikuwa hasafiri kwa ndege kutoka bungeni dodoma alikuwa akisafiri kwa gari na ndiyo iliyochukua uhai wake.
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  hawa hawafutiwi matokeo na hupata udhaminii 100% . Hawafundishwi uzalendo na hutayarishwa kuwa 'class' !
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280


  INAUMA!!! iko wapi??
   
 18. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280


  Mimi nadhani umewafananisha.

  Je, unakumbuka harakati zake kipindi kile cha Mwaka mmoja tu alipokuwa Waziri Mkuu kabla ya kifo??? Jinsi alivyopambana na UFISADI, UHUJUMU UCHUMI,RUSHWA.

  NDUGU UKISEMA ALILETA UMASIKINI HUENDA UNAONGEA KUTOKANA NA MANENO YA VIJIWENI LAKINI NAOMBA WEKA UTHIBITISHO / USHAHIDI WA KAULI YAKO.

  Huyu angelikuwepo au kuweza kutawala zaidinafasi ya PM wa Tanzania; mianya ya Umasikini na hali ngumu ya uchumi iliyopo sasa huenda ingelikuwa kwa kasi ndogo.

  Lakini sasa umasikini wa Mtanzania unaongezeka kwa HALI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI

  Mwenyezi Mungu aiweke Roho Yake Hayati Sokoine Mahali pema Peponi.... AMEN.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 19. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Haaahhhhh!!!!

  Ndugu Waberoya; utanivunja Mbavu zangu kwa kicheko. Kwani kama unavyoniona hapa nimebaki Mifupa mitupu; MAISHA MAGUMU... IMENIUMA SANAAAA!!!! HADI NIMEKUWA MIFUPA. lakini cha ajabu tunaambiwa "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"

  Sasa napenda kuwa nabii Mtarajiwa nikitabiri kuwa "TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA, TUANDAE KABURI LAKE MWAKA 2015  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  ha ha ha!! nimekupata

  Kweli inauma sana kudanganywa kila siku...

  inauma!!
   
Loading...