mwakilishi wa CUF ajitoa uchaguzi EAC

Toa ufafanuzi ili tumjue ni nani, amejitoa katika hatua gani na kwasababu gani.
 
Kwa kifupi kulikuwa na mgombea wa CUF kutoka Mbeya.
Jina silikumbuki alishindwa kabisa kujieleza kwa
Kiingereza kabisa nakuishia kusema ninanukuu "my profession is a politician"
Mwisho wa kunukuu. Hivyo mdada wa watu akachomolea
Hapo
 
Topic nzuri lakini haijashiba. Anaitwa nani, kasema nini, kashindwa nini na kwanini kajitoa.
 
Back
Top Bottom