Kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover.
Pili, semina elekezi-Ngurudoto itakula tena kwetu.
Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao...
Mbunge wa Monduli EL amewasili mchana huu jijini hapa kwa ndege ya kukodi ya Tanzair. Bado anapata ulinzi wa kutosha toka kwa serikali yetu kama kawaida na mchana huu amekwenda Tunduma kufanya...
Watu wa tano(5) wamekutwa wameuwawa kinyama maeneo ya chekeleni wilayani Arumeru. watu hao inasemakana hawana hata jeraha hivyo inasadikiwa wameuwawa kwa kunyongwa.
Source: Sunrise FM
========...
nawashaur wabunge wa ccm kuacha kumuogopa JK wakidhan wataukosa ubunge 2015 .kwanza hatakuwa na meno vile atakuwa amemaliza kipindi chake hvy wachukue maamuz yatakayosaidia wananchi bila woga wa...
Nipo na mdogo wangu ni dereva katika taasisi ya serikali iliyo chini ya waziri Omari Nundu anaendesha suzuki vitara,anasema wakienda DT Dobie kwa ajili kufanya service ya Air Condition tuu huwa...
HATIMAYE mawaziri saba kati ya nane wakiwemo wanaokabiliwa na tuhuma za ubadhirifu, wamekubali kuandika barua za kujiuzulu wenyewe kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kukinusuru Chama cha Mapinduzi...
Kila Mtanzania ni mchunga wa mwenzake,uzalendo na uchungu juu ya nchi yetu ndiyo suluhisho la tamaa ya kujilikimbizia mali za umma kwa faida ya wachache.Kila mtu akijua wajibu wake na akatimiza...
Kwanza poleni na majukuma ya siku nzima wna jf
poleni na kuumiza vichwa baada ya changamoto za hapa na aple na kubwa ikiwa ni ujifanyie nini kwa ajili yako na familia yako lkn pia na taifa lako...
Mh.DEO amesema ingawa aliitwa na Lukuvi na kushauriwa asisaini,amesema aliamua kusaini ndio akaenda kumsikiliza,pia amesema HAIKUA SAINI YAKE,NI YA WANARUDEWA NA WATANZANIA
SOS:CLOUDSFM HBR
Kinyungu nimekaa chini nikatafakari kiasi cha pesa kinachoibwa ama kukwapuliwa na Wanasiasa wa Tanzania na kugundua ni kiasi kikubwa sana. Cha ajabu pesa hizi sioni impact yake yoyote kwenye...
Hawa magamba watakoma mwaka huu!
Mawaziri saba wangoka
HATIMAYE mawaziri saba kati ya nane wakiwemo wanaokabiliwa na tuhuma za
ubadhirifu, wamekubali kuandika barua za kujiuzulu wenyewe kwa...
Je kama tutakuwa na safu ya bunge la Wana Jf, members kama wabunge mngeshauri ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya mawaziri hawa? Makongoro Mahanga, Sofia Simba, Celina Kombani, William Lukuvi, Mary...
Kuna mambo mengine tunakuwa tunamwonea tu mheshimiwa Rais Dr. Jakaya M. Kikwete. kitendo kile cha BBC kumuuliza suala la kwa nin nchi maskini na suala na umeme haikuwa haki kumuuliza rais.ye hayo...
Nipo nackiliza mlimani radio mda huu, wakirusha kipindi toka bungeni.
Kilichonikera nihoja ya kujenga gati ya 13 na 14 pale bandarini dsm.
Cha ajabu ni pale ambapo kunakuwa na hoja inayoongelewa...
WANA JF.
HUWA NATEMBELEA HII BLOG MALA KWA MALA,ILA NINA KAMA WIKI TATU HIVI SIJATEMBELEA,LEO NATEMBELEA NALETEWE UJUMBE HUU!!
Warning: Something's Not Right Here...
Hivi karibuni shirika la NSSF lilitutangazia kuingia mkataba na serikali wa ujenzi wa daraja la kigamboni ili kuondoa kero kwa wakazi wa kigamboni kwa kuwapa kivuko chenye uhakika.
Swali langu...
Wakati mchakato wa kuwashughulikia wateule wa rais wanaoshiriki au wanaoshindwa kuwashughulikia washiriki wa ubadhirifu wa fedha za UMA, kuna haja sasa ya kuona wahasibu wote walioshiriki katika...