Mlimani radio-kutoka bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlimani radio-kutoka bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bampami, Apr 21, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Nipo nackiliza mlimani radio mda huu, wakirusha kipindi toka bungeni.
  Kilichonikera nihoja ya kujenga gati ya 13 na 14 pale bandarini dsm.
  Cha ajabu ni pale ambapo kunakuwa na hoja inayoongelewa na vyama pinzani na inaonekana kuwa ni nzito na ina umuhimu,MLIMANI RADIO wanakata kwa mda wanapotea hewani.
  HII NININI? Kama hawataki UKWELI its better kuacha kurusha matangazo.
   
 2. n

  nketi JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  eeeehh...HATA HAWA NI KM TBC1 TUANZE KUWATENGA?
   
Loading...