Lowassa Ndani ya Mbeya mchana huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa Ndani ya Mbeya mchana huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Whisper, Apr 21, 2012.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbunge wa Monduli EL amewasili mchana huu jijini hapa kwa ndege ya kukodi ya Tanzair. Bado anapata ulinzi wa kutosha toka kwa serikali yetu kama kawaida na mchana huu amekwenda Tunduma kufanya huduma ya Mungu kama kawaida yake. Amealikwa na kanisa moja kwa ajili ya fundrising na kuna tetesi kuwa hata kanisa la Moravian limemwalika kwa fundrising ya upanuzi wa chuo kikuu cha TEKU.

  Mzee karibu sana Mbeya yetu wana peoples Power na bila shaka umeona jinsi gani kijana wako Millya alivyochagua fungu jema.
   
 2. B

  BLB JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nimekusoma mkuu
   
 3. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Tunakutakia kazi njema. Urudi salama. Pitia Mbeya ukautubie kidogo labda watabadilika.
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Yeye aendelee kutoa hizo pesa chafu lakini kamwe hatakaa apate chochote
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,784
  Likes Received: 593
  Trophy Points: 280
  Eti huyu nae ni mbunge ..yani BUNGE linaendelea yeye anazurura as if BUNGE limeisha....nadhani kuna haja ya CDM kuchukua hili jimbo kwani kwani ubunge umekwisha mshinda huyu jamaa na sasa kajiajiri ktk mitaji yake mingine
   
 6. Mhoja

  Mhoja JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  karibu mbeya baba
   
 7. g

  galimanywa Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  huyu fisadi hatuwezi kumunyima haki ya kiroho kama harakati zake hizi zinaendana na kutubia uovu wenye athali za kimaangamizi kwa taifa. Hata hivyo baada ya kutubu anatakiwa akae kwenye kipindi cha maangalizi kisicho pungua miaka mitano. Kwa maana kuwa ktk miaka mitano asishiriki wala kutuhumiwa kwa ufisadi. Zaidi ya yote aachane kabisa na ndoto za kuwa raisi wa nchi hii. Napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu kuwa sumu ni sumu haijarishi imo ndani ya chupa ndogo au imo kwenye pipa. Sumu haionjwi!!!! Ukiambiwa kuwa hii ni sumu halafu wewe ukasema ngoja nionje nione basi wewe lazima uwe hamnazo.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Kweli siku za mwisho watu watakuwa ni wenye kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu
   
 9. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukirudi pitia hapa docs (mwanjelwa) utusalimie vijana wako wa jua kali. Njoo utusimulie hadithi yako uipendayo ya ukosefu wa ajira ni Timing bomb.
   
 10. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wana jf huyu fisadi wakumuangalia kwa macho ya ndani,anajua afanyalo humo makanisani. Nashangaa nayo makanisa kupokea pesa chafu huku wakijua. kweli siku hizi watu wamemuacha Mungu wa kweli wamemfuata mungu wa uongo(Pesa)
   
 11. m

  maramojatu Senior Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Is he running for president come 2012? Why is he attending many activities?
   
 12. F

  Fofader JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  2012 ??????????
   
 13. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Msihuku msije hukumiwa nyinyi hukumu ni kazi ya mungu mwenye enzi sio nyie kina tomaso
   
 14. K

  Kulola Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jumatatu April 23, kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi Star Tv kuna mjadala kuhusu Sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini.

  Karibu
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mh. Lowassa ni kiongozi mcha Mungu sana. Long live Lowassa.
   
Loading...