Wabunge wa ccm hawapaswi kumuogopa JK

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
nawashaur wabunge wa ccm kuacha kumuogopa JK wakidhan wataukosa ubunge 2015 .kwanza hatakuwa na meno vile atakuwa amemaliza kipindi chake hvy wachukue maamuz yatakayosaidia wananchi bila woga wa kukosa ubunge
 
Easier said than done. Mfano mzuri, angalia wabunge wangapi wa CCM wame sign form ya kutokuwa na imani na waziri mkuu. Just a handfull
 
Back
Top Bottom