Bunge la MwanaJF mngeshauri mawaziri wafuatao wafanywe nini haraka?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Je kama tutakuwa na safu ya bunge la Wana Jf, members kama wabunge mngeshauri ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya mawaziri hawa? Makongoro Mahanga, Sofia Simba, Celina Kombani, William Lukuvi, Mary Nagu, Hussein Mwinyi, John Magufuli, William Ngeleja, Ezekiel Maige, Harrison Mwakyembe, Samuel Sitta, Jumanne Maghembe, Dk Kawambwa, Adam Malima,Lucy Nkya, Stephen Wassira, Mathias Chikawe, Mustafa Mkullo na Mizengo Pinda. Makosa yao ni kuanzia kughushi shahada, upanya, matusi, ufisadi, uzembe, uongo, uzinzi na mengine.
 
Kufilisiwa na kunyongwa
  1. Ngeleja
  2. Mkulo
  3. Malima
  4. Nkya
  5. Mponda
Kufilisiwa na kufungwa jela

  1. Maige
  2. Mahanga
  3. Simba
  4. Kombani
Kufilisiwa,kuishi kijijini na kutoruhusiwa kushirki siasa

  1. Maghembe
  2. Kawambwa
  3. Lukuvi
  4. Mwinyi
  5. Nagu
  6. Pinda
Kifungo cha nje huku wakitakiwa kuweka mambo ya richmond hadharani

  1. Sitta
  2. Mwakyembe

Mwisho: Magufuli anafaa kuendelea

K
 
Kwanza umewataja wengi...
Mim nachukua wanaonihusu hapa..
1/MALIMA aliwahi ingizia taifa hasara ya Milioni 100...
Kwa ujinga wake eti mh Mengi anajipa Airtime mingi ITV than our excelence JMK..
Ikaundwa tume kuchunguza,
matokeo malima muongo..
Alistahili kulipa hzo pesa au kifungo cha maisha jela na kama anauwahi mrefu basi anyongwe ili asiendelee kutia hasara Jela..
 
Mkuu,
Ningeshauri uanze na Waziri Mkubwa ambaye ni MWONGO namba MOJA dunia nzima, Lowest Perfomer in Tanzanian History, na mwepesi wa kulia ili kuziba uovu anaofanya, Bwana Mizengo Kayanza Peter Pinda!
 
2/MAGHEMBE kafuta post yangu 1 hapa..
Ila sio ishu ntaandika tena,vidole havitumii mafuta hvi..

Huyu ni Prof tena mim asingekuwa waziri labda ningemsalimia kwa magoti kama ningekutana nae siku 1 na akajitambulisha kuwa ni prof, lakini leo naona kama namzidi maharifa vile..
Sina ugomvi na Babu huyu ila swala la kushindwa kukontrol inflation kwenye mazao ya chakula wakati yeye ndo mwenye funguo ya maghara yote yaliyofungia tani kwa tani za maindi..

Simshitakii kwenu ila Prof huyu ndo ameshindwa kununua Maindi kwa Bei staiki kwa Wakulima wetu,,wakanunua wachuuzi kwa 2500-3500 debe la maindi msimu wa mavuno na kulinunua tena kwa elfu 8 msimu wa palizi..
Huyu naye amewafukarisha sana wakulima wa mahindi..
Hukumu yake ni hii..

Kwa kuwa Ni Profesa naomba akapimwe Akili kabla ya kusomewa hukumu na mtoto wa mkulima wa mahindi..
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin
 
Kufilisiwa na kunyongwa
  1. Ngeleja
  2. Mkulo
  3. Malima
  4. Nkya
  5. Mponda
Kufilisiwa na kufungwa jela

  1. Maige
  2. Mahanga
  3. Simba
  4. Kombani
Kufilisiwa,kuishi kijijini na kutoruhusiwa kushirki siasa

  1. Maghembe
  2. Kawambwa
  3. Lukuvi
  4. Mwinyi
  5. Nagu
  6. Pinda
Kifungo cha nje huku wakitakiwa kuweka mambo ya richmond hadharani

  1. Sitta
  2. Mwakyembe

Mwisho: Magufuli anafaa kuendelea

K
safi :A S 41:
 
ana ugonjwa wa kifafa kama humjui
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin

tupia link
 
Je kama tutakuwa na safu ya bunge la Wana Jf, members kama wabunge mngeshauri ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya mawaziri hawa? Makongoro Mahanga, Sofia Simba, Celina Kombani, William Lukuvi, Mary Nagu, Hussein Mwinyi, John Magufuli, William Ngeleja, Ezekiel Maige, Harrison Mwakyembe, Samuel Sitta, Jumanne Maghembe, Dk Kawambwa, Adam Malima,Lucy Nkya, Stephen Wassira, Mathias Chikawe, Mustafa Mkullo na Mizengo Pinda. Makosa yao ni kuanzia kughushi shahada, upanya, matusi, ufisadi, uzembe, uongo, uzinzi na mengine.

We ukishaona waziri anagushi digrii basi ujuwe hata kazi yake itakuwa ni ya kubahatisha tu.Ila katika mawaziri wote hao uliowataja anayejua kazi ni huyo Magufuli tu wengine hao wapelekwe jela na watozwe faini kwa uwongo. Binafsi sioni walichokifanya katika wizara zao zaidi ya wizi.
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin

Huko siendi. Unataka usalama watutafute ili Kikwete atufunge kwa hasira za kuambiwa ukweli?
 
Kufilisiwa na kunyongwa
  1. Ngeleja
  2. Mkulo
  3. Malima
  4. Nkya
  5. Mponda
Kufilisiwa na kufungwa jela

  1. Maige
  2. Mahanga
  3. Simba
  4. Kombani
Kufilisiwa,kuishi kijijini na kutoruhusiwa kushirki siasa

  1. Maghembe
  2. Kawambwa
  3. Lukuvi
  4. Mwinyi
  5. Nagu
  6. Pinda
Kifungo cha nje huku wakitakiwa kuweka mambo ya richmond hadharani

  1. Sitta
  2. Mwakyembe

Mwisho: Magufuli anafaa kuendelea

K

Sawa kabisa. Nitakunywa beer for your suggestions, ila naona serikali yote inabidi ijiuzulu for they are incompetent.
 
Magufuli is the worst; uuzaji wa nyumba bei ya mchicha, samaki kutunzwa kwa kodi zetu, sasa barabara za viwango hafifu na nusu nusu. Tena muongo sana na mpotoshaji.
 
wafuatao wanyongwe taratibu
1.mponda mali za wananchi
2.magembe wa majigambo
3.nundu la magamba
nahuyu angekuwa waziri ningeomba anyongwe kwa unafiki tu
JANUARY MAGAMBA MAGUMU
 
........a.k.a mtoto wa mkulima mzee wa 'nadhani'

.
Eeeeeh ... nadhani sasa imefika mahali sisi kama serikali tutambue hili .... eeeeh kwamba wananchi wanaishi katika maisha magumu .... eeeh nadhani hili si suala lililojificha, maana linaonekana wazi kabisa ... eeeh nadhani hata Waberoya analifahamu hili ...

.
 
Hao mawaziri inasemekana kwamba wameandika barua za kujiuzulu. It has yet to be confirmed by the Prime Minister. Kuna maana gani basi kuwajadili wengine ambao hawajaandika barua ya kujiuzulu? Na unapotaja mawaziri wengi namna hiyo,kwa nini usiseme Serikali yote ya Kikwete haifai?
Sasa hivi wanaostahili kujadiliwa ni hao ambao wapo katika sight ya Chama.
Kuwafukuza mawaziri wengi namna hiyo sijui kama imewahi kutokea outside a coup detat. Lakini it doesn't mean it can't be done. By all accounts,it has already been done. Wasifukwe tu because some respectable person said they should go. Hawa mawaziri nadhani they are on their way out. Sasa hivi labda wabunge wanawake wameshaanza ku sense nafasi ya kazi,labda wameshaanza kuvaa translucent dress kutafuta uwaziri.
 
Back
Top Bottom