Watanzania mnatafakari nin baada kutwa nzima na miaka 48 ya muungano unao kuja mbele

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Kwanza poleni na majukuma ya siku nzima wna jf
poleni na kuumiza vichwa baada ya changamoto za hapa na aple na kubwa ikiwa ni ujifanyie nini kwa ajili yako na familia yako lkn pia na taifa lako kwa ujumla

ikiwa ni tangia juzi watanzania tumekuwa na hamasa kubwa na kila moja akitaka kuona haki na wajibu vichukua mkondo wake lkn kwa wenye mamlaka na wanohodhi madaraka ya nchi hii kwa maana sisiem wamepiga tiktaka kichwa chini miguu juu haki na wajibu nyuma wizi na ufiisadi mbela na kwa mantiki hiyo matarajio ya wengi na fraha ya wengi imepotea hamana cha waziri mdogo wala mkubwa aliye onyesha kujali hili


eeeh greater thinker kwa nafasi yako unamshauri nin mtanzania??????
 
Back
Top Bottom