Jinsi pesa yetu inavyoliwa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi pesa yetu inavyoliwa!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Apr 21, 2012.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nipo na mdogo wangu ni dereva katika taasisi ya serikali iliyo chini ya waziri Omari Nundu anaendesha suzuki vitara,anasema wakienda DT Dobie kwa ajili kufanya service ya Air Condition tuu huwa wanalipa Tshs 7million!!nimesikitika sana wakati huo huo xray ya hospital ya mwananyamala imeharibika spear ya sh 3m hakuna pesa wanasema wanasubiri bajeti ya mwaka 2012/13.Jee magari kama hayo yapo mangapi serikalini yenye kula pesa za wala jasho?
   
 2. next

  next JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  hizi ni standard allegations.
  naona sasa ni wakati wa kuziupgrade ziwe na mashiko zaid, mwaweza kuattach purchase order, profoma au hata invoice. things we call proof of foul play
   
 3. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  ungekua unafanya kazi usalama wa taifa au takukuru naona ungeua mtu siku moja!, maana hayo madudu wanayaona sana ila wale wenye moyo kama wewe hawana uwezo kuyazuia!
   
Loading...