Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Watu wa tano(5) wamekutwa wameuwawa kinyama maeneo ya chekeleni wilayani Arumeru. watu hao inasemakana hawana hata jeraha hivyo inasadikiwa wameuwawa kwa kunyongwa.

Source: Sunrise FM

========
View attachment 52286
View attachment 52287Kwajinsi walivyo marehemu hawa polisi wanapaswa kutueleza juu ya vifo vya vijana hawa....

==================
kuna taarifa zinasema watatu kati ya hawa vijana ni wakazi wa sombetini na wameshatambuliwa na ndugu zao, wametambulika kama ni dreva TOYO wa huko sombetini.
 
Polisi waingie kazini mara moja watafute chanzo cha mauaji hayo!...na hatimaye haki itendeke!
Marehemu wapumzike kwa amani!
 
Kuna maiti tano wameonekana maeneo ya Chekereni Tengeru Arumeru Mashariki karibu na mashamba makubwa ya wazungu asubuhi hii, inasemekana waliuawa kwa kunyongwa then wakaletwa kutupwa barabarani. Source Sunrise Radio-Arusha
 
Kuna tetesi ya kuwa mauwaji hayo yana weza kuhusishwa na vurugu za za juzi za kugombea mashamba.....
 
Ukiishi kwa upanga lazima ufe kwa upanga,hao wameua wenzao nao wajiandae kuuwawa.
 
Polisi waingie kazini mara moja watafute chanzo cha mauaji hayo!...na hatimaye haki itendeke!
Marehemu wapumzike kwa amani!

hapo mwisho sawa, lakini hilo la polisi ninamashaka! Ama uchunguzi ukaishia hewani au kwa dpp!?
 
Ama kweli raia watakwisha bila ya sababu!

ninaelekea mtaa huo na bila kama nitapa news ntawajuza wadau! Nitapita na nitaenda mpaka Mlangarini shambani ila kutokana na umuhimu wa Mi kuwa Jf ni lazima nidodose nini kilichojiri anga hizo!

Marehemu walale kwa AMANI YA BWANA!

Ntarudi baada ya!
 
Nina mashaka na usalama wa taifa, kwani vijana waliouawa wanaonekana vijana wenye nguvu na wenye shughuli zao, pia nina mashaka kama haya mauaji hayahisiani na ile vurugu ya mashamba Arumeru
Polisi waingie kazini mara moja watafute chanzo cha mauaji hayo!...na hatimaye haki itendeke!
Marehemu wapumzike kwa amani!
 
Back
Top Bottom