Mh. Mramba usikubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Mramba usikubali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moony, Apr 21, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mh Mramba, sala zako zimesikika, usikubali hawa mawaziri wezi waliothibitika waachiwe hivihivi wakati wewe

  umedharirishwa.


  Chukua hatua.
   
 2. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  unasema amedhalilishwa huyo mwizi mkubwa!

  nakutilia shaka! au???!!!
   
 3. n

  nketi JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mramba gani huyu aliyeandikwa?....je, ni yule aliyewaambia watz kuwa hata km ni kula nyasi wale lakini lazima rada na ndege ya rais inunuliwe na watz wakala nyasi mpaka mizizi? Au mwingine?.....
  Ufafanuzi tafadhari kwani kuna viongozi wametufanyia maudhi mabaya sana.....we rais tumempa ridhaa anatuambia sisi wavivu wa kufikiri kweli?
  Jamani si mnaona nilivo na hasira?....mnadhani kura yangu itaenda wapi iwapo uchaguzi wowote utafanyika?
   
 4. j

  julisa JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sasa yeye asikubali nn wkt hata sio mbunge, nadhani km enzi zile bunge lingekuwa kali yangemkuta hayahaya kwani alikua mbadhirifu..
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Kwani KESI yake imekwisha na ameshafungwa huyu fisadi nyangumi.....afungwe akale NYASI na wenzake watamfata
   
 6. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Huyo alietuma post mkaskazin huwa hawakubal ukwel huwa huona kama wameonewa mwiz mkubwa Mramba Jk funga huyo!
   
 7. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Huyu sijui anaongelea Mramba gani, Post nyingine michosho tu.
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mramba hawezi kukutwa na hatia kwa sababu sheria ya msamaha ya kodi inampa waziri kutumia discretion wakati wa kutoa misamaha ya kodi.
   
 9. K

  KING COBRA IIII Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wetu ni Msanii na Hana lolote analofanya! Mramba anakula Bata safi tu!
   
Loading...