Je kwa nini nssf isiwekeze kuokoa reli ya kati, na inakimbilia daraja la Kigamboni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kwa nini nssf isiwekeze kuokoa reli ya kati, na inakimbilia daraja la Kigamboni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Apr 21, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Hivi karibuni shirika la NSSF lilitutangazia kuingia mkataba na serikali wa ujenzi wa daraja la kigamboni ili kuondoa kero kwa wakazi wa kigamboni kwa kuwapa kivuko chenye uhakika.

  Swali langu gumu ni kwamba nchi kwa sasa ina matatizo makubwa sana ya usafiri katika Reli ya kati.kutoka Dar es salaam hadi kigoma na Mpanda.hii inatokana na uchakavu wa miundombinu
  Katika reli hiyo ikiwa ni pammoja na uchakavu wa mitambo na miundombinu ya reli yenyewe.

  Sasa najiuliza ni kwa nini kama NSSF ilikuwa na lengo la kutumia mabilioni yote hayo ya hela je ni kwa nini isingeziingiza hapa kwenye reli sehemu ambayo ni kero kwa idadi kubwa kwa waqmnchama wake kwa idadi kubwa kuliko kigamboni ambayo ina wakazi wachache kuliko hawa wa mikoa ya Reli ya kati?

  Je hii haitufanyi tuone kama ni mpango wa wakubwa fulani ili kukamilisha ule uwekezaji wao wa mji wa kisasa ambao hata hivyo umeleta mgogoro mkubwa kati ya hao wawekezaji na wakazi halali wa kinondoni?
   
 2. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao NSSF wenye we wako Tia maji Tia maji......sirikali imekopa weeeeeee hadi kuwalipa ishakua tabu......soon Utaskia tu ooh! No Mafao kwa wastaafu....NSSF imefulia....blablablaaaaa!!
   
 3. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NSSF kama shirika la biashara hawajifanyii tu miradi kama unavyodhani kua watu wengi wanasumbuka, inawezekana ikawa hiyo ni factor moja ambayo inahusika ktk kufanya maamuzi yao lakin haina umuhimu mkubwa ukilinganisha na faida wanayotegemea kuingiza ktk mradi wowote. Ni wazi kwamba NSSF waliufanyia utafiti wa kutosha mradi wa daraja la kigamboni na wakahisi kua una maslahi kwao. Ni wazo zuri kushughulikia reli lakin bado maslahi ya kibiashara yanabaki kua lengo kuu la NSSF ktk kutoa maamuzi.
   
 4. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Ni kweli unavyosema,lakini pamoja na wao kufanya upembuzi yakinifu kama unavyodai,kuna taarifa nyingi zinazoonyesha NSSF kufanya madudu katika maamuzi yake mojawapo na mfano ni kama huu wa ujenzi wea UDOM, ambapo NSSF wametoa jumla ya T SHS 234.1 bilioni,lakini mkataba uliosainiwa ni wa T SHS 35.2 bilioni tu.
  Hii inaonyesha nj jinsi gani shirika au wataalamu wake na au serikali kwa malengo yake binafsi inavyoutumia mfuko huu wa fedha za wavuja jasho kwa maslahi ya watu fulani ndani ya system.
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  nina tupesa twangu twa siku nyingi huko, japo ni kidogo inabidi nianze mkakati wa kututoa nitule mwenyewe.

  Hili shirika karibia 75% ya miradi waliyojiingiza ni aina ya RICHMOND na ukiangalia kwa umakini pale future ni ndogo. Ni bora wangelisema investments walizofanya kwa miaka 10 (kwa mfano) walipe 'dividends/interests' kwa waliochangia hicho lakini wapi, wazee ndio wanajifanya wanawekeza na ku-inflate miradi ili wale hizo 10% nk

   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Kwahyo B 200 zimepigwa??
   
Loading...