CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by COSTOMER, Apr 20, 2012.

 1. C

  COSTOMER Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nahisi yanayoenda kuongelewa huko ni yale yaliyokuwa yakikisiwa na wengi kuwa kunamawaziri wamejiuzuluuuu ngoja tuyasikieeeeeeee!!!!!
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tunataka kuona hatua zinachukuliwa na sio porojo!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  CCM leo inapasua jipu, itatangza rasmi kuwa nchi imesha uza.
  Chukua Chako Mapema.
   
 4. Mtali

  Mtali JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 2,226
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Please tujuze yayotokea huko?
   
 5. Mtali

  Mtali JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 2,226
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  I hope wana nullify information.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  KWELI NIMEANZA KUAMINI CCM yangu INAKUFA KIBUDI

  Nape vipi? CHAMA KINAKUFA
   
 7. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  naomba niwafahamishe kuwa wabunge 4 wa ccm wamejiuzuru...chami, mponda, mkullo na nundu....sasa wanajitayarisha kulifahamisha taifa rasmi, Wabunge wa CCM wako kwenye kikao chao cha chama kabla ya kuja kwenye bunge ili itangazwe rasmi.
   
 8. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mmh! haya tunasubiri kusikia yatokanayo
   
 9. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  habari ndo hiyo wameachia ngazi.....lukuvi kapiga fitna lakini ameshindwa..
   
 10. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,682
  Trophy Points: 280
  Idadi haijatimia ya mawaziri wanaopaswa kujiuzulu.
   
 11. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakijjiuzulu nawapa zawadi ya kito moto kila mmoja ili wakasherehekea kujivua gamba. Walioghushi shahada wanangoja nini wakiongozwa na Lukuvi mwenyewe?
   
 12. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  he should be accountable for the deaths of inocent Tanzanians.
   
 14. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ngeleja je na Malima? Yaani wao wamebania tu wenzao wanakaangwa!
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 3,173
  Trophy Points: 280
  Ngeleja je? waanze na mawaziri wamalizie na Wakurugenzi wa bodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzzzzz lukuki! hawa ndio wanalitafuna taifa kwa kujichotea pesa kama waliweka. Spika upo hapo hahhaah kibarua kitaota nyasi karibuni maana mkulu atalivunja bunge muda si mrefu...naipenda hiiii
   
 16. C

  Chokler Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanafaa kujiuzulu wote walio banwa kwa kashfa kwa namna moja ama nyingine sio hao tu na sio tu kujiuzulu pia wafanyiwe uchunguzi wa kwanini walishindwa kazi.....
   
 17. N

  Nego Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 25, 2006
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yaani Mponda kawakwepa madaktari weeee, mwishowe kapatikana!
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JK na Pinda wanajiuzulu lini?
   
 19. Mtali

  Mtali JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 2,226
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kabisa lazima lieleweke . Hapo bado idadi haija kamilika.
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JK na Pinda wanajiuzulu lini?
   
Loading...