NBAA iwafutie membership wahasibu wote wanaohusika na ufujaji wa fedha za umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBAA iwafutie membership wahasibu wote wanaohusika na ufujaji wa fedha za umma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sangarara, Apr 21, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wakati mchakato wa kuwashughulikia wateule wa rais wanaoshiriki au wanaoshindwa kuwashughulikia washiriki wa ubadhirifu wa fedha za UMA, kuna haja sasa ya kuona wahasibu wote walioshiriki katika kufanikisha ubadhirifu huu wanashughulikiwa tokea pande zote.

  Nikitegemea kuwa joto ambalo serikali hii inapitia sasa, kutokana na kuwa dormant kwa muda mrefu, sasa itaamka na kuanza kuwashughulikia watumishi wote walioshiriki kwenye ubadhirifu huu.

  Nadhani niwakati muafaka kutokea hapa JF kuanza kuibana board ya Uhasibu ama kuwafutia Qualification zao, au kusitisha membership ya wahasibu wote ambao wanashindwa kusimamia hesabu na mifumo ya udhibiti fedha za UMA kuanzia na wale ambao wanahusika na ubadhirifu ulioainishwa kwenye reports za CAG kama zilivyowasilishwa kwenye Bunge hili.

  Kwa msaada, wale wanaowafahamu wahasibu kwenye Idara na Halmashauri zote zilikutwa na ubadhirifu watuwekee hapa majina nikiamini kwa namna hii JF itakuwa imetimiza wajibu wake kwa UMA ipasavyo.
   
 2. G

  Gibbs Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  I concur with you, it is either of the two. Wawe suspended. Au wafukuzwe uanachama. Proffessional auditing ifanyike

  This is an insult to our proffession we need precise action on this. Otherwise it is poiintless to seek CPA
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kumbe wahasibu mpo. Ukweli ni kwamba, Japo kwa sasa hakuna mtu anayewapigia kelele, lakini ipo siko atatokea mwanasiasa makini, hasa hawa wa CHADEMA wakati wa utawala wao mtabadilishiwa kibao na hiyo profession yenu itakuwa chukizo kubwa kwa wananchi kama ilivyo kwa viongozi wa CCM sasa.

  Hakuna wizi unaofanyoka serikalini wala kwenye secta Binafsi ambayo Muhasibu ama hajui kwamba sasa wizi unafanyika au kushiriki moja kwa moja.

  Kwani huyu P. Maneno kazi yake pale NBAA ni nini, ni kuwaandalia mitihani tu? Na kama walisitisha Kampuni ya Uhasibu ya Mangesho kwa kutoa taarifa za uongo za mahesabu ya NIKOL hawa wanaoiba kabisa si tutegemee maamuzi mazito zaidi au sielewi authority za hii body vizuri?
   
 4. G

  Gibbs Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naamini kama vile baadhi ya watu wanaoona "rais" fulani hana hadhi ya kuwa Rais wake, kwa kukosa sifa na vigezo ndivyo ilivyo kwa proffession zote.

  "Wahasibu"hawa sio wahasihivyo vigezo na kuvunja miiko. Kwa hiyo nidhamu izingatiwe.

  Kama ilivyo kwa watanzania wengi hatuna mwiko wa kuwajibika ndio maana tunadanganya ili kujiokoa na kujihami badala ya kuangalia nini cha kufanya.

  Proffession zote zina matatizo
  Lawyers wanaongopa, engeneers nao wahasibu nao n.k
  Walio wazuri ktk kazi zao ni Proffessional Thieves

  food for thought.
   
Loading...