Chami live clouds sasa hivi!

huku kwetu wameshatu ngeleja mapeemaaaaa siwezi kuona....

anasema nini huyo mwizi wa kura??
 
hakuonyesha ushirikiano ktk mahojiano so yalikua ni mahojiano mafupi sana kwa njia ya simu,but one pointless aliyoongea ni kwamba prezidar akimwambia aachie ngazi atatekeleza kwa ajiri ya kukinusuru chama.
 
Mbona anajieleza sana huyu jamaa, tokea jana alijaza kurasa kwenye mablogu kibao...hivi alizaliwa na hicho cheo?,...si aondoke tu?
 
Mbona anajieleza sana huyu jamaa, tokea jana alijaza kurasa kwenye mablogu kibao...hivi alizaliwa na hicho cheo?,...si aondoke tu?

Aliwekeza sana kwenye kampeni na bado hajarudisha hela zake! Labda anaona hataweza kurudisha kwa ubunge pekeyake!
 
Back
Top Bottom