Kwanini VITUO VYOTE VYA Radio na Television Rusheni Matangazo ya BUNGE.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Mi nashangaa sanaa ,Vituo vya Radio na Television vingi vinaplay Muziki tu.
Ni kweli kuwa hawasomi nyakati na Muda huu wangekuwa wazalendo wa nchi hii kuwa fahamisha WATANZANIA WOTE nini kinachoendelea ndani ya Bunge ili WATANZANIA WOTE WA JUWE kuwa Kuna Mawaziri na Viongozi wa Nchi hii Wanatafuna Rasil4mali za WATANZANIA.

Muda wa Ukombozi ndo huu,Muda wa Watanzania Mpaka waishio vijijini kujua Chanzo cha Matatizo yao ni kuwa na Viongozi WACHAFU walio hila Mbaya na Maisha Watoto wetu,Elimu zao na Maendeleo yao kiuchumi.

Ingekuwa busara nchi nzima kwa kipindi hiki kusikiliza bunge na Kuwachia WATANZANIA KUAMUA.

Ingekuwa busara nchi nzima kuangalia na kusikiliza bunge ili watanzania wajue ULAFI wa viongozi na Uongo tulio unyenyekea kwa miaka 50 ya uhuru..

Mytake.UKOMBOZI UMEFIKA WATANZANIA TUAMUE MAISHA YA KUISHI KUJENGA TAIFA LENYE NGUVU KIFEDHA,KIUCHUMI NA KIMAENDELEO.
 
Mimi pia nashangaa juu ya hili.
Bcoz mpaka sasa sioni station yoyote inayorusha kutoka mjengoni.
 
dada yangu hawa watu wanatumia pesa za nchi walizoiba kuvinyamazisha vyombo vya habari..wewe fikiria tu kuwa kuna mantiki gani kwa tv au redio ya taifa sasa hivi kupiga mziki huku wakijua kuwa maskio ya watu yako wapi? w=ni dhahiri pesa imetembea
 
Sio watu wote wapo interested na kusikiliza habari za siasa na si kila mtu anapenda kusikia habari za matatizo ya Watanzania yanayotolewa na wabunge..Hy TV inayorusha matangazo inatosha acha media nyingine ziendelee na mambo yao..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom