Hivi wanachofanya hawa wawekezaji ni sahihi?

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,771
23,156
mwekezaji Abraham wa Monduli anyunyuzia dawa /sumu kwenye majani iliyosababisha ng'ombe kadhaa kufa, na watoto 38 walazwa, baada ya kula nyama hizo ya ng'ombe .
Pia inasemekana swala na punda wafa baada ya kula majani yaliyonyunyuziwa sumu.

Source : Itv
 
Sijui kwa nini watu hawa hawajibishwi ipasavyo na Serikali au wanataka afe mtoto wa Mbunge ndio wajue kuna wawekezaji wajinga nchini.
 
ALEYN,
yaani wawekezaji anafanya vile anavyojisikia, hii ni dharau ya hali ya juu...
 
Last edited by a moderator:
ALEYN,
yaani wawekezaji anafanya vile anavyojisikia, hii ni dharau ya hali ya juu...

Kitendo alichofanya mwekezaji huyo ni cha kinyama sana! Amenisikitisha sana kwani baada ya ukatili alioufanya anaeleza kuwa ana 'lease' ya eneo lile na analilipia! Kwanini asitoe taarifa kwa uongozi wa eneo hilo ili wananchi wachukue tahadhari hasa ukizingatia kuwa eneo lile halikulimwa muda mrefu. Poleni watanzania wenzangu kwa hasara kubwa mliyopata. Pole yetu pia watanzania kwa maliasili yetu iliyoangamizwa kwa ubinafsi na jeuri ya mwekezaji. Ninawaombea wale watoto wote waliolazwa kwa athari ya sumu ili MOLA awaponye.
.
 
Sijui ni lini watanzania watajifunza kuheshimu mipaka ya mashamba ya wenzao. Tukifika hapo tutaepuka mengi
 
Sijui kwa nini watu hawa hawajibishwi ipasavyo na Serikali au wanataka afe mtoto wa Mbunge ndio wajue kuna wawekezaji wajinga nchini.

usisubiri serikali ikufanyie kila kitu, hivi Watanzania tutalijua hili lini? usisubiri serikali au polisi wamwajibishe
 
ipo siku mtaambiwa mwondoke nchi hii mtafute sehemu ya kuishi!
 
Matusi nadhani wamasai waamke sasa wakatae kunyanyswa kwenye ardhi yao kama walivyosema wafunge njia
 
utashangaa hii issue inaisha kimya kimya......

Kitendo alichofanya mwekezaji huyo ni cha kinyama sana! Amenisikitisha sana kwani baada ya ukatili alioufanya anaeleza kuwa ana 'lease' ya eneo lile na analilipia! Kwanini asitoe taarifa kwa uongozi wa eneo hilo ili wananchi wachukue tahadhari hasa ukizingatia kuwa eneo lile halikulimwa muda mrefu. Poleni watanzania wenzangu kwa hasara kubwa mliyopata. Pole yetu pia watanzania kwa maliasili yetu iliyoangamizwa kwa ubinafsi na jeuri ya mwekezaji. Ninawaombea wale watoto wote waliolazwa kwa athari ya sumu ili MOLA awaponye.
.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom