Mbunge Komba ashtakiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Komba ashtakiwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moony, Apr 21, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inasemekana mh. Mbunge Komba amekuwa na mahusiano kimapenzi na "LULU" kwa muda mrefu.

  Kama kweli Lulu hajafikisha miaka 18 na shule kakatiza, je inakuwaje wanaume hawa 'wakubwa' kuachiwa hivihivi wakiharibu watoto na kesho yake kwenda 'Mjengoni' kutunga sheria?

  Nijuzeni wenzangu.....
   
 2. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Huyu jamb nilishawah muona hoteli moja inaitwa Angoni Arms songea kama miaka 2 iliyopita alikw na watoto kama sio wa form 2 kutoka songea girls hadi ikanibd niondoke eneo lile sbb nilikw naona aibu mie sasa. Hv lile umbo akivilalia vile vitoto brain concussion c hapohapo inaweza kuvipata hvy vitoto
   
 3. K

  Kicheche Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hebu funguka tupe data zaidi. eleza chanzo na ushahidi wa tuhuma zako kuwa Mh. naye ni FATAKI!!!
   
 4. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mzee FATAKI.
   
 5. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  ungechukua picha kwa siri..
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mara nying maskia hizi habari kuna ukweli au utan tu?
   
 7. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kichwa ya habari ni nzito kuliko body......hii yaweza vunja uti wa mgongo wa habari yoooote
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Presha inapanda Presha inashuka.
   
 9. M

  Midas Touch Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Joramjason, kwani ulishawahi kusikia hivyo vitoto vikipata brain concussion..!:rolleyez:
   
 10. N

  Njangula Senior Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari nzito mnoooo!!! Ntarudi baadaye.
   
 11. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hizi taarifa ni kweli Captain anatembea na Lulu hata mamayake lulu analitambua hilo, na ile nyumba lulu aliosema anaenga kimara ni captain komba ndio anayoijenga, even mke wa komba alishakwenda kumkanya mama yake lulu kuhusu binti kutembea na mumewe akaambulia matusi na hiyo kesi imeshafika ktk familia ya komba a kwa mkewe, ngoma ni nzito kwana ilifikia kipindi lulu alimtukana mke wa komba.

  taarifa hizi ni zandani nimezipata toka kwa mdogowake mke wa komba ambaye anafanya kazi na dada yangu.
   
 12. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nilitamani lkn mazingr yalikuwa tete kidogo
   
 13. n

  nndondo JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Jamani hawa watoto nao wanatuchosha, kwanza ni vigumu sana kuelewa ni kwa namna gani watoto kama hawa wakike wanaishia kwenye mikono ya haya mafataki tena yenye sura na shepu za kishetani kama Komba. Komba hajaanza leo na hataacha leo, haya ni mapepo yaliyojaa humu duniani na bahati mbaya kwa watoto wetu yanalindwa na nguvu za mapepo wenzao ccm na serikali. Eti hili dudu nalo ni mbunge wa chama tawala anayeshinda kwa kura, ndio maana dawa kamili ni kukazana huku huko kwenye grassroots, wananchi wa songea waulizwe wanatupelekea nini bungeni? lakini hawa wakina kimemeta nao ni ajabu hawatuambii popote pale kwamba wanahitaji maombi kwa ajili ya uchovu walioletewa na haka katoto, ni pepo la ngono limemkamata na huu ndio hasa unakua mwisho wa watoto wasiosikia. sasa kwa umri huu yuko gerezani? hata tukijidanganya kwamba ni gereza la watoto bado ni gereza tu, waombe na kusali sana mungu ampe 2nd chance. Pamoja na hayo mimi sikubaliani na hii hukumu ya kuchukuia hatua, hata mtu mzima unapokabiliwa na abuse ya kupigwa nani atakayeacha kujitete kwa kumsukuma ama hata kumtwange mppigaji, je walitaka akae kimya, ili auawe yeye na tuongelee postmortem? lulu atetewa kisheria naamini atashinda, na baada ya hapo yeye na wazazi wake wakae chini kutafakari yaliyowakuta na kumshukuru mungu kwa revelation, na karudishwe shule kaache umalaya usiokua na faida, kwa nini haya yote jamani? hata majirani za kanumba wanasema walishachoka na kelele za kupigana wapenzi hawa feki. taifa lenye kupenda ngono viongozi wake wote wameshinda kwa kanumba lakini kwa mayunga, kiaro wala mwakanjuki hawataoneka, acha pinda apukutwe laana itaendelea kuwafuata, kikwete nae ndio hayo chama kinamfia, Bilalli bilahaya ka lline up mdogo wake eti nae asikose kula maana ni zamu yao, laana kum haw
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kama kuna ushahidi,watu wajitose mahakamani!Wanaharakati hawana kazi,ukiwapa hii issue,itawafaa sana!
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM ni uozo mtupu eti KOMBa mbunge, mpaka kinyaa
   
 16. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  No nahisi vitakuwa vinakuwa vinalikalia kwa juu
   
 17. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,075
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Jana nimeliangalia hilo DUDU likilalamoka kuhusu jimbo lake,kumbe utumbo mtupu!!!hivi wananchi waliomchagua waliangalia vigezo gani.Samahani mwenye CV yake aiweke humu maana anaendekeza fitna tu bungeni hana point hata moja.Hili la LULU ni kweli kamjengea na gari kamnunulia ila kuendekeza njaa huku hawa watoto watatufikisha pabaya bora nalo nilazimishwe kuresign kwa kulitia bunge aibu.
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  alimaliza na alifeli ile mbaya. Tafuta uzi wake humu ndani upo
   
 19. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Una uthibitisho au ndo mambo ya Shigongo?
   
 20. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Gossip is one form of crime for which the law provides no punishment
   
Loading...