Nimeipenda hii ya Hando

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Eti kama timu yako imefungwa mabao matano bila Mpaka Dakika ya 89. Ukifanya substitution inasaidia?

Moral of the question: Zile ahadi za raisi zaidi ya 100 zitatekelezeka katika utendaji kazi wa mawaziri hawa?

This boy is very inteligent!!!!
 
Jamaa ana akili sio kibonde. Comment zake ni za busara sana. Nakumbka aliwah kumuambia bonge mbona analalamika tu kama KJ wakati ana uwezo wa kuchukua hatua
 
kijana ana akili sana huwezimfananisha na Kibonde

ni sawa na kufananisha wabunge wa magamba na wa CDM

mfano Lusinde na Mnyika wapi na wapi
 
Eti kama timu yako imefungwa mabao matano bila Mpaka Dakika ya 89. Ukifanya substitution inasaidia?

Moral of the question: Zile ahadi za raisi zaidi ya 100 zitatekelezeka katika utendaji kazi wa mawaziri hawa?

This boy is very inteligent!!!!

Mon Dieu!

Someone once said '' a trick of the tongue can fool the ear!''......certainly this boy's mouth is more intelligent than his brains!.....just keep on listening to him other days and you will be amazed!!!
 
................... '' a trick of the tongue can fool the ear!''......certainly this boy's mouth is more intelligent than his brains!.....just keep on listening to him other days and you will be amazed!!!

hahahahahaaaaaa! nimebaki hoi na hii maneno!
 
Gerald ananifanya nisikilize PB kila siku. Akiwa hayupo sina mpango nayo. Nahamia EA radio
 
Eti kama timu yako imefungwa mabao matano bila Mpaka Dakika ya 89. Ukifanya substitution inasaidia?

Moral of the question: Zile ahadi za raisi zaidi ya 100 zitatekelezeka katika utendaji kazi wa mawaziri hawa?

This boy is very inteligent!!!!

Man u walikuwa na mtu mmoja aliyekuwa anaitwa Ole Guna Soljar,alikuwa anaingia muda huo huo na anabadilisha matokeo.You never know may be jamaa ametunza zile strategy nzuri aje zitumie dk za mwisho
 
kahamia huyo,kama wewe ni mgeni pb basi huwezi wajua hao prizenta kivile but its nt bad if they come to change ya mind,unakaribishwa Gerald,mabadiliko ya kweli na ya nchi yako ya tanzania inaletwa na wewe kijana,mtu kama mkuchika anaimani kua siasa ni uongo na watanzania ni wajinga,sasa kama wewe Gerald una akili kama mkuchika sijui hiyo changes where does it start from...rather than u?!come on guyz,let us make it now!
 
Mon Dieu!

Someone once said '' a trick of the tongue can fool the ear!''......certainly this boy's mouth is more intelligent than his brains!.....just keep on listening to him other days and you will be amazed!!!
Ni kweli mkuu,akili za jamaa zipo kigambagamba kabisa..
 
Back
Top Bottom