DSM; Viijana 230 kuhamia CDM kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DSM; Viijana 230 kuhamia CDM kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichwa Ngumu, Apr 23, 2012.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]John Heche


  Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi


  [​IMG]John Heche


  Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.

  source FB Heche wall paper
  Hii inaitwa twanga kote kote
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,487
  Trophy Points: 280
  viva CDM ila sijiu kwanini ilipofika tu saa mbili wakati naangalia bunge nimepatwa na kichefu chefu cha ajabu na hasira kali kwa ccm?
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mimi nimejikuta namgombeza mwanangu alipokuwa ananiuliza swali kwenye homework yake
   
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  pole sana tedo; kuna signature moja ya JF member inasema Stress=expectation/output binafsi huwa naongeza
  Expectation/output but when the results is greater than one
  nadhani ndicho kilicho kukuta matarajio yalikuwa makubwa kuliko matokeo
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Good move Bavicha.
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hakuna kulala had kieleweke
   
 7. B

  Ban Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  Kwa kweli nimeamini kuwa CCM wote ni familia ya mapanya, wote ni wezi. Hakuna wa kumukamata mwingine!
   
 8. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kitaeleka tu, hakuna mchezo; Sugu amewaambia wajiandae kuwa chama cha upinzani
   
 9. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Napendekeza operesheni hii iitwe OPERESHENI GHADHABU YA UMMA
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Hitimisho la bunge limeacha ladha ya ukakasi kwa mamilioni ya Watanzania. Limezaa majonzi na hasira kali ambayo watawala hawajui tu.

  Lakini hizi habari za CDM kuendelea kujijenga sambamba na elimu kwa umma(kwa upande mmoja); na ubomoaji wa ccm kila kona (kwa upande mwingine) ndio faraja kwa jioni hii.

  Asante makamanda
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  CHADEMA wanaendelea na MSAKO

  Endeleeni kuwavuna waje kwa wingi sana.
  Mtu akijitokeza na kujigamba kwa ni mwana CCM atakuwa na roho ngumu sana.
   
 12. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,670
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  yawn Nina hasira kaa nimefumania
   
 13. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umefika wakati watupishe magogoni.
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,487
  Trophy Points: 280
  ahsante! nakunywa wine hapa ilinijiliwaze lakini naona kama nataka kwenda kuitapika. siku imeharibika kweli.
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... itakua ni kosa kubwa ajabu IKULU kudhani kumnyanganya Kamanda Lema ubunge kupitia mahakama huenda ikawa ni suluhisho.

  Kamanda Lema endelea kuonyesha TALANTA yako ya kupendwa na vijana wa Tanzania kwa kuhamisha Vijiji vyote nchini toka CCM na kujiunga na CDM.

  Kamanda Lema, onyesha UWEZO wa 'Nguvu ya Umma' kote nchini kupitia hiki chombo mahiri cha M4C huku ukiambatana na Jenerali na Dokta wa ukweli, Dr Slaa, kwa kutetemesha mafisadi katika kila jimbo.

   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,487
  Trophy Points: 280
  pole sana inaumiza kweli.
  tusubiri labda makamanda wanaweza wakatoa way foward roho atleast zikasuuzika.
   
 17. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Unadhani wanaweza wakatupisha kama hatujaenda hapo. Mgeni hafunguliwi Mlango mpaka agonge
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,487
  Trophy Points: 280
  Ina fariji fariji lakini siyo sana.
   
 19. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Safi sana askari wa ukombozi wa kweli.Fanyeni utaratibu wa kusambaa hadi vivijini kuwaelimisheni wananchi wajue kwanini tanzania ni maskini chini ya utawala wa ccm na namna serikali inavyobabaisha katika kusimamia mali za umma
   
 20. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kisiasa kujuuzuru kwa Mawaziri waliobainishwa kulikuwa na tija ccm ila hivi walivyofanya wanaifanya vyama vya upinzani kujijenga na ccm kuzidi kupolomoka
   
Loading...