Regia mtema; chawata kumfanyia ibada maalum kumuombea kesho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regia mtema; chawata kumfanyia ibada maalum kumuombea kesho.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TUNTEMEKE, Apr 24, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wakuu,
  nimeona niwajuze habari hii ili kwa yeyote mwenye mapenzi mema na mwana JF mwenzetu aliyetangulia mbele ya haki marehemu REGIA MTEMA kuwa.
  chama cha walemavu tanzania CHAWATA kesho tarehe 25.04.2012 Kitafanya ibada maalum ya kumuombea aliyekuwa Mkurugenzi wao wa idara ya vijana na mwakilishi wao ndani ya bunge marehemu regia mtema itakayofanyika katika kanisa la KRISTO MFALME-TABATA MAGENGENI SAA 3 ASUBUHI.
  Tukiwa kama wadau na marafiki na wanajukwaa wenzake maremu tunaombwa kuhudhuria bila kukosa.

  source; baba wa marehemu na MWENYEKITI WA CHAWATA-0759761870.
  Nawasilisha.
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145

  asante kwa taarifa. japo unatukumbusha machungu.
   
Loading...