Hawa polisi wapya kutoka ccp nawaomba watulie, tutaonana wabaya

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
ameletwa hapa dar kwa ajili ya sherehe za Muungano, lakini cha ajabu wanajifanya kujua kuliko wazawa. watu wenyewe hawana hata miezi mitatu mtaani wanaleta kibase. Nahofia wakishapata hela za Muungano baada ya kwata ntapiga mtu na kirungu, wenzao wameshapangiwa kazi mkoa lakini wenyewe kuzurula wanatupiga piti mtaani. Mimi nawavutia pumzi. sijui kwanini polisi wahusike kwenye maswala ya siasa, eti mwendo wa kasi, wa kazi gani? nimechukia sana. ova
 
Vipi mzee amevamia koloni lako nini!
 
Kuna wenzao wamekula dili huko Uvinza wakajidai wamemfumania mchina wakala mlungula wa $300 na Tshs. 10,000.00 walikuwa watatu. Mchina akawashitaki ikagundulika kwamba Mchina alikiwa akila uroda na MHudumu Mmoja wa Bar kwenye nyumba ya kulala wageni. Huyo mhudumu alikiwa na uhusiano wa kimahaba na mmoja wa askari hao hivyo maaskari wakaenda kufumania na kuchukua hongo!

Wameshitakiwa kijeshi na wamekutwa na hatia hivyo kufukizwa jeshini kwa fedheha.

Mkuu hao madogo waamboe wapitie mitaa ya huku Kitunda watakutana na kombati
 
Vipi mzee amevamia koloni lako nini!

wanajifanya wao wanajua sana. Madogo tuu!..wamepangiwa kufanya kazi mkoa lakini wameletwa dar kupiga gwaride siku ya muungano, ikifika jioni wanajifanya kutunisha vifua.
 
Mkuu dudu hayo ndiyo marupurupu ya jeshi yaliyobaki komaa nao tu, hata mimi wakati namaliza JKT Bulombola nilisafiri bure kwenye treni toka Kigoma hadi Dar kwa kutumia kombati za jeshi hakuna mtu aliyethubutu kuniuliza nauli.
 
ameletwa hapa dar kwa ajili ya sherehe za Muungano, lakini cha ajabu wanajifanya kujua kuliko wazawa. watu wenyewe hawana hata miezi mitatu mtaani wanaleta kibase. Nahofia wakishapata hela za Muungano baada ya kwata ntapiga mtu na kirungu, wenzao wameshapangiwa kazi mkoa lakini wenyewe kuzurula wanatupiga piti mtaani. Mimi nawavutia pumzi. sijui kwanini polisi wahusike kwenye maswala ya siasa, eti mwendo wa kasi, wa kazi gani? nimechukia sana. ova

Polisi kamata kidevu kinawasha kamwambie baba yako akupikie ugali ugali ndiyo nini ni mtindo wa kisasa,,,,,,,,,
 
Mkuu huku hawa jamaa huwa tuwapa ndonga sana. mi Binafsi siwapendi sana mapolisi ingekuwa amri yangu ningefuta jeshi la polisi tanzania ...
 
Polisi kamata kidevu kinawasha kamwambie baba yako akupikie ugali ugali ndiyo nini ni mtindo wa kisasa,,,,,,,,,

ingekuwa hivyo tungeshukuru. hawa wa siku hizi hawana mchezo kama ile ya kuruka kamba. wakishatoka kunywa bia za bure barracks wanafanya kweli wale hawana akili.
 
Back
Top Bottom