kura ya maoni tafathari.

Administrator wa JF hebu tutengenezee kasehemu kakupiga kura ya kutokuwa na Imani na rais kikwete na kutaka hatoke madarakani....
 
Hatutaki kutokuwa na imani na chama, tunataka kura ya 'NO CONFIDENCE kwa 'HEAD OF DA STATE' coz ndo mwenyekiti wa magamba,,,,,chama hakinashida tatizo ni wote waliondani yake maana wanaongozwa kwa 'system' ('mtandao' wa walaji wa kodi zetu)**
 
Back
Top Bottom