Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yahusu polisi kuhatarisha maisha yangu baada ya kushindwa kumdhibiti muhalifu ambae ni jambazi anayejulikana kwa kumlinda na kumpa nafasi ya kunishambulia mara kwa mara na kunisababishia hasara...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Imezoeleka kila kukiwa na sherehe za kitaifa, basi pongezi za sherehe hizo hutumwa mojakwamoja kwa rais hata kama hana uchungu na taifa husika! Iwe ni tukio la kusikitisha au kufurahisha likiwa la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ujumbe wa simu wanausambaza kwa wazanzibari wenzao kutoka kwa 'JUMUIA YA UAMSHO NA TAASISI ZA KIISLAM'' kuwa leo tarehe 25 april usiku wa kuamkia kesho watakuwa na mkesha ikiwa ni dua kubwa usiku...
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Wadau nna wasiwasi kuwa hapa tunataka kuja kupigwa changa la macho.Sheria ya marekebusho ya kupata katiba mpya ulijadiliwa Bungeni kwa maslahi ya taifa .Hii ripoti iliyokuwa ikimchunguza ndugu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa mpenzi mkubwa wa gazeti la Mwanahalisi. Lkn nimeshtuka muda wa miezi hii michache kuona gazeti hili limekosa mvuto kwa wasomaji Habari nyingi za front page sasa zinaonekana zimekosa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
lICHA YA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOAINISHA UFISADI LUKUKI WAHISANI WA TANZANIA AU DEVELOPMENT PARTNERS KAMA WANAVYOPENDA KUJIITA WAMEFUMBIA MACHO UFISADI.... TAARIFA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nilikua na download music nililivyomaliza nikataka kuplay nyimbo zote zikagoma mpaka video haziplay kbs, pia hata ring tone ya nyimbo niliokua nimeweka imebadilika na kuita kwa ring tone...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu zanguni kama kuna kampuni inaendeshwa kihuni basi kampuni ya mafuta ya lake oil haina mfano.kampuni hii licha ya kukosa utaratibu maalum wa kazi hali inayoonyesha haina uongozi wenye akili...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Bila kupoteza wakati naenda moja kwa moja kwenye mada Kuna aina kuu tau za propaganda zinazotumiwa na wanasiasa karibu kote duniani hasa Tanzania White propaganda.. ambapo atakachokuambia...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Jamani ndugu zangu naomba mnijuze kwamba ni software gani inahitajika ili kuipata Arusha Mambo Fm online kwa sisi tulio mbali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imar Kama Chadema. sio Mnafki Kama Mkapa jasiri kama Lema! Ni Profesa Kama Lipumba Ila Sinuk Kama Kimba Mwerevu Zaidi Makamba.. profesa Kam Safari Mshindi Kama Nasari. popote Twende...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
KWAMBA ufisadi wa mabilioni ya fedha za walipa kodi nchini umesambaa kila sehemu katika Serikali, idara zake na mashirika ya umma sasa ni siri iliyo wazi. Baada ya miongo mingi ya viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kodi yangu inanunua silaha kunilinda mimi na viongozi wa juu au viongozi wa juu tu? Je, ni maandalizi ya 2015 general election...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Ni hisia zangu tu, nikiwa msikilizaji mzuri wa kipindi hicho naanza kupata hisia huenda gazeti hili limesusiwa kwani ni takriban siku tatu mfululizo limepigwa kando ktk uchambuzi wa magazeti. Mara...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Namnukuu Mbowe " sisi Chadema ni kama Barcelona tunapanda kushabulia wote, tunapiga kiungo cha kati na tunarudi kulinda goli kwa Pamoja". Najiuliza msemo huu utaendelea kutumika kwa sasa au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HII NDIO FRONT PAGE. NDIO INAYOUZA GAZATEI. LICHA ya tambo zilizotolewa na serikali kwamba ingetoa maamuzi magumu dhidi ya mawaziri waliotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yao na kulisababishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ADVANTAGES OF BEING SINGLE: 1. You can sleep well 2. You can save more time & money 3. No missed call at midnight 4. No need to activate cheaper call rate scheme
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Peopleeeeeees! Wiki kadhaa za karibuni nilikua kila nikifungua ukurasa huu nakutana na habari za diwani,wenyeviti na wanachama wa CCM wahamia CHADEMA! VP mavuno yameisha au?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndg Watanzania wezangu,sasa ni dhahiri kwamba umasikini umetamalaki miongoni mwa jamii na hakuna mwingine wa kumlaumu tofauti na viongozi na serikali legelege na uongozi uliopoteza mwelekeo.Je ipo...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Huwa najiuriza baada ya itv kupata zile comment katika vile vipima joto majibu yake huwa yanapelekwa wapi(kwa watendaji gani na kwa hatua gani?) au ni kuwa sumbua watanzania tu na kama ni hivyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…