Kongamano la masecretary mwanza.........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la masecretary mwanza.........!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shagiguku, Apr 27, 2012.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Leo linaanza kongamano la siku mbili la masecretary hapa mwanza, lakini ninachokiona kwa upande wa washirki kuhusu usafiri wa kwenda na kurudi katika eneo la tukio (malaika beach hotel) siyo mzuri, maana wa-mama wa watu wamechangishwa kila mmoja Tsh. 20,000/= za usafiri ambazo unaona kabisa kwamba ni wizi mtupu, nasema wizi kwa maaana ya kwamba tayari hawa washiriki walikuwa wamekwishachangia Tsh. 250,000/= za ushiriki ambazo kwa uelewa wangu tayari hapo kuna fedha ya usafiri, lakini cha aajabu wamechangishwa usafiri pembeni tofauti na fedha ya ushiriki.

  Hata hivo magari yaliyochukuliwa (kodishwa) kwaajili ya kuwapeleka na kuwarudisha washiriki katika eneo la tukio hayajazingatia muda wa kuwachukua na kuwarudisha kwa sababu yamechelewa mno, kiasi kwamba washiriki wengi sana asubuhi hii wameonekana wakiuza sura barabarani kuyasubiria hayo magari.

  Tunawaomba waandaaji wa kongamano hili kwa mwakani wajaribu kuboresha hali hii na kuepusha usumbufu kwa washiriki.
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  toa uchafu wako hapo; na hiyo ni siasa
   
 3. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwanza wote ni "wapenzi" wa mabosi wao hawana cha maana cha kujadili
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanacho cha kujadili. Wao pia ni wanataaluma na wanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwamo hiyo unayoisema kuwa wao ni 'chakula' cha mabosi wao. Lazima wazijadili ili kuzitafutia ufumbuzi.
   
 5. B

  Babyemma Senior Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...uchafu unaujua wewe chizi acheni kudharau kazi za watu...we umepewa hicho nae kapewa hicho..mama yako mwenyewe hana kazi nyumbani pumbavu
   
 6. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani lakini siyo Masecretary wote ni chakula ya bosi, wengine wanajiheshimu, na bosi wengine ni wastaarabu.
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Shagiguku wewe umefanikiwa kuliona hilo ambalo ni sehem ndogo tu ya maovu yanayofanywa na wakubwa maeneo mbalimbali hapa nchini.

  Pamoja na hayo mimi binafsi nakuaminia sana katika suala zima la upambanaji hususani ktk kupigania masilahi ya wanawake hasa wandishi wa habari.

  Natamani siku moja uwe mbunge au waziri ili uweze kupaza sauti ya wasio na sauti hatimaye kuleta ukombozi wa mwanamke hasa ktk nyanja hiyo ya ukatibu muhtasi.

  Umepambana na utaendelea kupambana na mengi hasa kwa kuzingatia kua wewe ni mtu mwenye msimamo wa kweli.

  Nitachangia hoja baadaye kidogo maana kwa sasa nimetingwa na majukumu ya kimaisha lakini hongera kwa ujasiri wako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. S

  Skype JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Shagiguku wewe umefanikiwa kuliona hilo ambalo ni sehem ndogo tu ya maovu yanayofanywa na wakubwa maeneo mbalimbali hapa nchini.

  Pamoja na hayo mimi binafsi nakuaminia sana katika suala zima la upambanaji hususani ktk kupigania masilahi ya wanawake hasa wandishi wa habari.

  Natamani siku moja uwe mbunge au waziri ili uweze kupaza sauti ya wasio na sauti hatimaye kuleta ukombozi wa mwanamke hasa ktk nyanja hiyo ya ukatibu muhtasi.

  Umepambana na utaendelea kupambana na mengi hasa kwa kuzingatia kua wewe ni mtu mwenye msimamo wa kweli.

  Nitachangia hoja baadaye kidogo maana kwa sasa nimetingwa na majukumu ya kimaisha lakini hongera kwa ujasiri wako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. S

  Skype JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mkuu habari yako? Naomba ujaribu kidogo kupunguza ukali wa maneno, ila nakubaliana sana na mtazamo wako. Heko!
   
 10. s

  sawabho JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Hilo sasa ndilo la kujadili, ufisadi sio wa pesa tu. Hata huo wa kufanya mwili wa mtu ambaye sio mke wako kuwa chakula chako ni ufisadi.
   
 11. S

  Skype JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ninapenda sana aina ya majibu kama haya kwa maana kwa mtu mwenye akili timamu lazima atajifunza kutokana na jibu lenye hekima kama hili. Heko mkuu!
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
   
 13. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Majina mengi yanaendana na tabia za watu, wewe mmoja wapo
   
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Sijapenda kabisa ulivoandika..umenifanya nijiskie vibaya sana..
   
 15. S

  Skype JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Set is a collection of things that are similar but different in some ways. For example class is a set, it has students that are similar in the sense that they are all human being but differ in their behaviour, some are good but others are not.

  Jf, also, is a set. It contains members of different kind. Some are great thinkers but others are not though they all belong to the same class-mamalia.

  Let's learn how to put up with these disabilities like low IQ.
   
Loading...