Sheih Khamis Pesambili wa Kijitonyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheih Khamis Pesambili wa Kijitonyama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andrew Nyerere, Apr 27, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi nilikuwa nasikiliza khutba ya Ijumaa ya huyu Sheikh TBC1. Alikuwa anaongea juu ya mada ya ''matatizo ya dunia hii yataondolewa hekima ikitumika''. Amemnukuu George Bernard Shaw,kwamba Shaw alisema,''Mtume Mohamed angekuwepo mpaka leo,matatizo yote ya Duniani angeyamaliza kama kuchukua kikombe cha kahawa,kunywa na kukirudisha chini''

  Sijui kama Shaw alisema hivyo,lakini hayo maneno yanaonyesha perfect understanding of the religion of The Prophet.
  Shaw alikuwa playwright,mwandishi wa drama,na siku ya kwanza Bunge lilipoanza;yaani baada ya wabunge kuchaguliwa,na kuapishwa,na kuanza kikao,on that day I dreamnt of Shaw.The significance of the dream was not lost on me, kwa sababu drama alizokuwa anaandika Shaw,ukizitazama,ni kama Hansard.[Drama za Shaw kama Hansard,yaani,there is a lot of serious converation katika drama za Shaw,jambo ambalo dramatists wetu wa Tanzania wanaweza kujifunza]

  In this dream, actors walikuwa wana act,on and on and on;halafu baada ya muda mrefu,wanatazama script kuona kama wanakwenda according to the scripit,it is very interesting,wanatazama human script,kurekebisha matendo yao,siyo divine script,interesting kwa sababu Shaw alikuwa atheist.

  Wanaitazama baada ya muda mrefu,unlike oour Parliament, ambao kila mara wanasema, 'Mwongozo wa Speaker'', unlike also, the Senate and the Congress ambapo wanaongea mwezi mmoja bila mbunge kusema. ''mwongozo.''
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa kabisa, ngoja nisubiri yatokanayo na kikao cha chama leo jioni, huenda nitapata mwanga.
   
Loading...