Kwa nin jakaya kikwete asulubiwe peke yake wakti anakula na wapembe wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nin jakaya kikwete asulubiwe peke yake wakti anakula na wapembe wake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 27, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "Presidence is an is an instuite"
  kwa kaelim kangu kadogo nilivyo fundishwa na nilipo changanya na za kwangu kwamba presidence is an instuite japo head wake ni president
  msingi wa swali alangu kwa kuwa presidence ni instuite tena inayo jitegemea kwa maana hata descion inatoka kwa mfumo huo lengo nikitaka kusema kikwete anafanya kazi na washauri na nimewahi kusikia washauri wake wengi ni ma pro na walimu kutoka chuo kikuu UDSM na UDOM katika kuingoza nchii na washauri wa uchumi sasa hawa mbna hawanyoshewi vidole kwa kumshauri president vibaya na nikasikia pro Lipumba alikuwa mshauri wa uchumi kipindi cha mh ruksa? Basi na prof ana kila sababu ya kuulizwa kwa nin tanzania ni masikini any way
  greater thinkerr hilii limekaaje?
   
 2. E

  Emmanuel Piniel Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajichanganya jipange upya
   
 3. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijakuelewa andika tena
   
 4. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  anatakiwa kuchambua anachoshauriwa sio kila analoshauriwa liwe ndilo!..julius kambarage alishasema hatutak rais anaeshauriwa na mkewe ucku halaf akiamka tayar kalifanyia kaz hata kama halifai.umeona eee!
   
Loading...