Wazanzibar waingia mtaani; hawautaki muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar waingia mtaani; hawautaki muungano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 26, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muungano ukiwa bado mbichi wazanzimbar wako uwanja gani sijui huu kelele mpka hawasilikizani
  swali langu kwa watanganyika hawa watu tunawanganagania nini? Wanasema wazi hawatupendiiiii mim nadhn imefika hatua tuwachie hawa watu au tukubariane turudi kwenye meza tukubaliane ni muungano gani wanautaka
  japo dukuduku langu sijui kama hawa watu wanafanya tafakuri ya waliendealo nchi hawana hata uwezo wa kuripia gharama za umeme hawajiwezi kulipia wafnyakzi bira kutegemea budget ya muungano
  greater thinker hawa watu vip na hili limekaaje?
   
 2. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  waachiwe waondoke zao bana, hata mimi nashangaa tunawang'ang'ania wa nini
   
 3. M

  Mr.kibulala Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watoke 2,mtoto akililia wembe mpe,wazee wadebwedo hkn llote
   
 4. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huu muungano unaitaji mjadala wapeke yake nje yakatiba!
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nadhani Rais ach uoga, kama bado ni muoga tunahitaji Mbunge wa kulianzisha hili- iitishwe kura ya maoni upande wa Zanziba ili waamue, Tutatalikiana kwa amani!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ccm ndo wanaoung'ang'ania huo muungano mbovu
   
 7. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....Walevi hao...wambie wakalale.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  sisi wengine ndo hatujui faida ya muungano.
   
 9. Fatal5

  Fatal5 Senior Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu ndio wakati na sisi Watu wa Tanganyika tufanye Maandamano ya kukataa Muungano au tuombe Serikali 3 kwa kuithamini na kuijali nchi yetu ya Tanganyika na utaifa wetu wa Tanganyika...kuliko kukaa kudharauliwa siku zote na hawa Wazanzibari kwa kutokutuona sisi si WaZalendo wa Taifa letu la Tanganyika.
   
 10. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  You are right Mkuu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...