Bei ya rand ya south africa star tv mnatuchanganya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya rand ya south africa star tv mnatuchanganya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mmang'ati, Apr 27, 2012.

 1. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naamini mmefanya makosa japo imeshakuwa cku nyingi tangu mkosee na hamjarekebisha pengine kwa kutegea tuwarekebishe. Bei ya rand (zar) kwa vyovyote haijafika tsh.2000. La mtupe maelezo kuliko kuendelea kutuchanganya. Yahya mohd umo humu Jf tafadhali mpelekee anaedit habari za biashara coz mnapotosha.
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  rand 2000? au typing error labda walimaanisha 200 ingawa nayo sio sahihi maana rand sasa ni sh. 210
   
Loading...