Ismail Jussa anatumwa na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ismail Jussa anatumwa na nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by African American, Apr 27, 2012.

 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa anaporomosha matusi na kejeli kwa viongozi wa muungano na watanganyika. Hivi kwa nini usalama wa taifa usimshughulikie huyu mchochezi? Anazungumza suala la mafuta kana kwamba yeye ana kampuni ambayo anatamani imiliki uchimbaji wa mafuta zenj angalia hapa Kibaraka wa Rostam, Issa Jussa akibwabwaja - YouTube
   
 2. luck

  luck JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Huyo ana barka zote ndio maana anazungumza pasi na wasi wala woga.Na hutakuta hata siku moja ametokea mtu wa kukanusha au kukemea anachokisema.Hapo anawasilisha mawazo ya wengi wa upande huo, ni mjumbe anafikisha taarifa hana kosa.MJUMBE HAUWAWI!
   
 3. luck

  luck JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Na wapo wengi wanaozungumza maneno makali zaidi ya hayo unayoyasikia hapo.Ila sijajua ni kwann hawasemwi badala yake jussa ndo amekuwa akisikika zaidi, labda kwa kuwa yupo upinzani.
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  sTAKI KUMZUNGUMZIA HUYO KILAZA MANA NILISHA LAMBWA BAN MARAKADHAA!!
   
Loading...